Rais Samia awapongeza Wakenya kwa kumaliza Uchaguzi Mkuu kwa amani

Rais Samia awapongeza Wakenya kwa kumaliza Uchaguzi Mkuu kwa amani

Wabongo bhana! Jana kuna mwezio humu alikuwa analaumu kwanini kachelewa kumpongeza Ruto, wewe leo unalalamika kwanini kawahi. SMH
Ndugu yangu hii ndio Tz. Hata itokee umsaidia hela kipofu barabarani ujue utadhihakiwa tu . Tuchunguzeni ni chakula gani kinatuathiri jamani
 
Hongera entire Kenyan population kwa kujitenga na mzuka wa Magufuli.

Kwenye maisha kuna mambo mengi sana ya kujifunza. Tuwe tunajifunza pia kutokana na makosa, ikumbukwe Magufuli aliwahi kuwakera Wakenya pale alipochoma moto vifaranga vya kuku na kukamata ng'ombe wao.

Raila Odinga alibugi sana kusema atatawala kama JPM. Bado isitoshe akamchukua Diamond na kumlipa Tsh 233 Million kwa dakika kumi, ilionyesha jinsi gani hawathamini Wakenya. Kenya inawasanii wengi Sana alishindwa nini kuchukua Wasanii wa huko.

Pole Sana RAILA OMORO ODINGA poleni wafuasi wa Azimio.

Mtu anachoma vifaranga, halafu unasema utaongoza kama yeye, kwa maana hiyo ukiingia madarakani, utavunja mahusiano kati ya nchi yako na nchi zingine. Amekomeshwa
Naona hiyo million 233 aliyolipwa Diamond imekuuma sana

Na wewe imba hapo Ufipa st
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametuma salamu za pongezi kwa Wakenya katika uchaguzi Mkuuu uliomalizika kwa William Ruto kushinda nafasi ya Urais.

Katika ujumbe wake Rais Samia amewapongeza Wakenya kwa kufanya uchaguzi kwa amani na ameeleza matazamio yake ya nchi za Kenya na Tanzania kuendelea kufanya kazi kwa ukaribu
View attachment 2325015
OMG she is truly the one promised, a true stateswoman
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametuma salamu za pongezi kwa Wakenya katika uchaguzi Mkuuu uliomalizika kwa William Ruto kushinda nafasi ya Urais.

Katika ujumbe wake Rais Samia amewapongeza Wakenya kwa kufanya uchaguzi kwa amani na ameeleza matazamio yake ya nchi za Kenya na Tanzania kuendelea kufanya kazi kwa ukaribu
View attachment 2325015
Flattering approach with deception.........Ruto is a gentleman and clever for a prey; let them expose themselves as to who they are.............. East Africa bloc transformation is loading under Dr. Ruto
 
Back
Top Bottom