JK anarudisha watu wake,haiingii akilini eti watu 4000 walijiendeleza,wataje vyuo walivyosoma kujiendeleza tuone.Wamejiendeleza vipi kielimu?
Mtu alitumia jina la ndugu yake akapata kazi sasa leo hii amejiendeleza vipi kupata hivyo vigezo. Au ambaye alikosa cheti cha Form 4 alienda kuwa private candidate akafanya NECTA na kufaulu. Na kwa muda gani imefanyika hiyo wakati SSH hana hata mwaka. Na walijuaje kwamba watarudishwa mpaka wakaenda kusoma ndani ya miezi 6 hii.
Tutakuwa tunakosea sana kama tunafanya vitu kupendeza wananchi na si kufuata sheria. Mtu aligunduliwa ana cheti cha kugushi akafukuzwa kazi. Hilo halina mjadala. Kama cheti kilidhaniwa kuwa cha kugushi wakati ni halali, na sasa imekuja kuthibitishwa kwamba kweli ni cha halali, hapo sawa.Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7.
Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko sawa.
Itakuwa walikosea kuwafukuza. Nitashangaa MTU afoji Cheti arudishwe kazini.Sijaelewa vizuri ,waliofukuzwa vyeti feki walikuwa zaidi ya elfu 10 ,criteria gani iliyotumika kurudisha 4100? Kama ni kweli basi Mama SSH anazidi kuupiga mwingi ,vipi hao elfu 6 waliobaki stahili/stahiki zao watapata?
Wale wa la saba waliingiaje kazini kama sifa walijkuwa hawana bila kufoji sifa husika!?Hakuna alosema walofoji vyeti warudi kazini bali wale darasa la saba na baadae wakajiendeleza ndo wanarudi kazini.
Acha kuwatia viongozi maneno mdomoni
Kwanza ilishakuwa jinai kufoji vyeti alafu unarudi unakuja kusema ulijiendeleza!naomba ushahidi kama walijiendeleza
Rais achunguzwe pengine na yeye ni cheti feki. Kama umesota hadi kupata cheti kwa vyovyote huwezi kuoneo huruma mtu aliyefoji cheti kama chako na kupata faida kama uliyopata wewe au uliyokosa wewe kwa yeye kutumia cheti cha kufoji. Cheti feki wanastahili kua jela sio kurejeshwa kazini. Kwanza unawarejesha kwenye kazi gani maana hawakua na sifa kuajiriwa kwenye hiyo kazi?Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7.
Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko sawa.
Kwani Katiba ya sasa inasemaje kuhusu DPP?Hata kama kughushi cheti ni kosa kisheria, DPP ana mamlaka ya kuipeleka kesi mahakamani au hata kutoipeleka. Au hata akiipekeka ana mamlaka ya kuachana nayo akiamua. na DPP ni mteule wa rais
Kama hupendi mfumo huo wa ssa wenye loopholes nyingi kwenye kutekeleza sheria ungana na wanaodai katiba mpya ili hilo liwezekane
Basi sawaElimu yenyewe haina maana!cheti kina maana gani sasa!!kama form six leaver anaweza fundisha vizuri tu kuliko hata mhitimu wa chuo cha ualimu!!!!Hata form six failure anaweza kufunzwa udaktari tu na akawa deep tu bila kujali ufaulu wake!!?
Labda wawabadilishe vituo vya kazi ndio warudishwe. Maana waliondoshwa kwa kudhalilishwa hivyo wakirudi bado kisaikolojia hawatakuwa sawa.Labda wamedushwa wale waliotolewa kimakosa na drs la 7
Maan mimi bado sijamuona alie rud kzn hadi sasa.
Hapana hata wenzao watafurahi kuungana naoLabda wawabadilishe vituo vya kazi ndio warudishwe. Maana waliondoshwa kwa kudhalilishwa hivyo wakirudi bado kisaikolojia hawatakuwa sawa.
Mimi ningependa kusikia wanalipwa mafao tu kwa kipindi walichotumikia tu kisha nafasi zao waajiriwe wapya waliopo mtaani.
Wana Siasa ili kuongeza thamani yao huwa wanatengeneza tatizo kisha wao wenyewe wanakuja kutatua tatizo ili waonekane wamefanya vizuri. Hii ndio mbinu ya kisiasa.Watanzania huwaga siwaelewi kabisa kipindi cha jiwe alipowafukuza watu walishangilia ooh walikuwa wamezidi kwanini wanakua na vyeti feki, ooh mara walikua wanaziba nafasi za wenye vyeti , sasa hivi ooh mama ana huruma , mama ni binadamu yaani kwa ufupi hatujui hata tunataka kitu gani sisi
SITETEI KUFOJI VETI, LAKININi wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7.
Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko sawa.
Wabongo hasa Chaggadema ni genge la watu wapumbavu.Watanzania huwaga siwaelewi kabisa kipindi cha jiwe alipowafukuza watu walishangilia ooh walikuwa wamezidi kwanini wanakua na vyeti feki, ooh mara walikua wanaziba nafasi za wenye vyeti , sasa hivi ooh mama ana huruma , mama ni binadamu yaani kwa ufupi hatujui hata tunataka kitu gani sisi