JK anarudisha watu wake,haiingii akilini eti watu 4000 walijiendeleza,wataje vyuo walivyosoma kujiendeleza tuone.Wamejiendeleza vipi kielimu?
Mtu alitumia jina la ndugu yake akapata kazi sasa leo hii amejiendeleza vipi kupata hivyo vigezo. Au ambaye alikosa cheti cha Form 4 alienda kuwa private candidate akafanya NECTA na kufaulu. Na kwa muda gani imefanyika hiyo wakati SSH hana hata mwaka. Na walijuaje kwamba watarudishwa mpaka wakaenda kusoma ndani ya miezi 6 hii.
Halafu wamehitimu wote Mara tu Hangaya alipokuwa rais?
na wale waliofikia umri wa kusitafu?