Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Ipo siku fedha bandia itakuwa halali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha roho mbaya ndugu yangu.Muhimu wangepewa stahiki zao waondoke lakini sio kufanya walichofanya, kwanza itakuwa walipewa kazi kwa kubebana/kujuana wakawaacha wenye sifa waliostahili kazi hiyo hii ni dhambi hata kwa Mungu.
Hao jamaa ni wahalifu na walistahili kufikishwa mahakamani kwa uhalifu wao lakini sio kupewa nafasi wakasome wakati wapo waliokwisha soma na hawana ajira wanahangaika mitaani.
Umeona ehe...Jiwe lenu lilikuwa jitu la laana kuuNimeipenda, mtu hawezi kufanya kazi miaka 10 halafu unamtoa kirahisi tu...
Mkuu suala hili no complex ,tumshukuru tu Mama kwa Hilo ,hapoilipo umehudumiwa na watu wengi Sana was Aina hiyo!inawezekana hata aliy3msaidiaa mama yako kujifungua. Alikiwa na Vyeti Feki!Kwahiyo kughushi cheti si kosa kisheria au sijaelewa vzr.
Kutoboa Mwafrika haitakaa itokee.
Kwamba umeghushi umekatwa halafu serikali inakupongeza.
Sasa yule aliyekuwa anatibu watu isivyo kiutaratibu yeye ana mkosi.
Ni kama tunaenda na pweza wa utabiri
Haa HaaHalafu mtu aseme mama Samia ni mbaya
Rais ndiye mkuu wa utumishi nchini na ana mamlaka ya kuajiri yeyote anayemtakaKuwarudisha kazini ni kuwakatili vijana walioko mitaani bila ajira ambao wamehitimu kwa mujibu wa sheria, na pia kuhamasisha uvunjaji sheria kwenye sekta ya elimu(kugushi).
Kuwasaidia wangewalipa mafao yao yawe kama mtaji wa kujiajiri ili vijana ambao hawana mtaji wala ajira wachukue hizo nafasi zao.
Hapo wangeua ndege wawili kwa jiwe moja.
Hata kama kughushi cheti ni kosa kisheria, DPP ana mamlaka ya kuipeleka kesi mahakamani au hata kutoipeleka. Au hata akiipekeka ana mamlaka ya kuachana nayo akiamua. na DPP ni mteule wa raisKwahiyo kughushi cheti si kosa kisheria au sijaelewa vzr.
Kutoboa Mwafrika haitakaa itokee.
Kwamba umeghushi umekatwa halafu serikali inakupongeza.
Sasa yule aliyekuwa anatibu watu isivyo kiutaratibu yeye ana mkosi.
Ni kama tunaenda na pweza wa utabiri
Ange-resign....Inaonyesha mambo mengi labda alikua hakubaliani nayo, alikua anatetea ugali wake, who will blame her?
Kweli! Huyu kama aliingia kwa kufoji lazima alikua ashtakiwe na afungwe jela.Nimeipenda, mtu hawezi kufanya kazi miaka 10 halafu unamtoa kirahisi tu...
Magufuli angekuwa hai angekuuliza utamlipaje stahiki mtu aliyeidanganya serikali na kujipatia ajira na mshahara kiudanganyifu?Muhimu wangepewa stahiki zao waondoke lakini sio kufanya walichofanya, kwanza itakuwa walipewa kazi kwa kubebana/kujuana wakawaacha wenye sifa waliostahili kazi hiyo hii ni dhambi hata kwa Mungu.
Hao jamaa ni wahalifu na walistahili kufikishwa mahakamani kwa uhalifu wao lakini sio kupewa nafasi wakasome wakati wapo waliokwisha soma na hawana ajira wanahangaika mitaani.
Kuwarudisha kazini ni kuwakatili vijana walioko mitaani bila ajira ambao wamehitimu kwa mujibu wa sheria, na pia kuhamasisha uvunjaji sheria kwenye sekta ya elimu(kugushi).
Kuwasaidia, wangewalipa mafao yao yawe kama mtaji wa kujiajiri ili vijana ambao hawana mtaji wala ajira wachukue hizo nafasi zao.
Hapo wangeua ndege wawili kwa jiwe moja.
Nje ya siasa, hakuwa na taaluma nyingine? Kama huwezi kusimamia haki kwenye level ya chini, unaweza kusimamia haki ukipewa mamlaka yote ya nchi? Kulikuwa na madhara gani kutoka siasani kwa ground za kutokukubaliana na uonevu na udhalimu unaofanywa, au hata uvunijfu wa sheria?Inaonyesha mambo mengi labda alikua hakubaliani nayo, alikua anatetea ugali wake, who will blame her?
Elimu yenyewe haina maana!cheti kina maana gani sasa!!kama form six leaver anaweza fundisha vizuri tu kuliko hata mhitimu wa chuo cha ualimu!!!!Hata form six failure anaweza kufunzwa udaktari tu na akawa deep tu bila kujali ufaulu wake!!?Kwahiyo kughushi cheti si kosa kisheria au sijaelewa vzr.
Kutoboa Mwafrika haitakaa itokee.
Kwamba umeghushi umekatwa halafu serikali inakupongeza.
Sasa yule aliyekuwa anatibu watu isivyo kiutaratibu yeye ana mkosi.
Ni kama tunaenda na pweza wa utabiri
Hongera sana mama SamiaNi wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7.
Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko sawa.
Nilitegemea Hawa watu wawe mfano wa onyo la kughushi vyeti lakini ndio kwanza wanarudishwa kazini, ni sawa na mtu aliefungiwa account yake benki alipokamatwa akingiza noti feki ila sasa anasamehewa na zile noti feki zinahesabiwa kuwa orijino.
Vijana kibao wapo mitaani wamesoma kwa shida ili kumaliza degree / masters, kiukweli hawatendewi haki hawa vijana, Binafsi sikuwa fan wa magufuli lakini kuna mambo machache sana aliyoyafanya nilikuwa upande wake likiwemo hili swala la kuchomoa wanao ghushi vyeti,
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora imetangaza kuwarejesha kazini Wafanyakazi zaidi ya elfu nne (4000+) ambao waliondolewa kazini kutokana na kugushi vyeti katika maeneo mbalimbali lakini sasa kwa huruma ya Rais Samia watarejeshwa kazini kwa sharti la kuwa wawe wamejiendeleza kielimu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Mohamed Mchengerwa amesema "wale walioweza kujiendeleza ambao ni zaidi ya 4100 tayari wamerejeshwa kazini, pia tunao Watumishi 1150 ambao hawakufanikiwa kujiendeleza maana yake hawana sifa za kutosha kuendelea kuitumikia Serikali japo walikua ni Watendaji wazuri”
Rais Samia alishatuagiza kwamba hawa 1150 kutokana na utendaji wao uliotukuka Watumishi hao wote walipwe haki zao na stahiki zao kama vile wapo kazini kwahiyo watalipwa"