Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Utapeli mtupu.Weka majina Yao tuone Kama kweli wamerudishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapeli mtupu.Weka majina Yao tuone Kama kweli wamerudishwa
Wavuvi hawana umoja. Mara nyingi miongoni mwao kuna wasalitiLakini hii serikali inatuonaje sisi wavuvi kata ya Kalya tulichomewa nyavu zetu na kuchukuliwa machine zetu za boat kimakosa kabisa tunalipwa lini tutendewe haki
Uanapotosha makusudi magufuli wakati anahutubia watumishi kule bandarini aliwaambia kama wee ni lasaba ni umejaza lasaba hamna mwenye shida naye ila mtu la saba anafoji ni form four uki mwambia alete cheti cha form anaruka ruka4100 hawakufiji vyeti bali waliingia bila kukidhi vigezo vya ajira mfano mtu darasa la saba aliajiriwa na baadae kujiendeleza hadi kufika form four, huyu anastahili kurudishwa kwa kua hakufoji vyeti na hakuna jinai kwake
Si wamesema 4100Kati ya 4000+ waliojiendeleza kielimu watakuwa wangapi? Waliofika mda wa kustaafu niwangapi?na zile stress mtu atajiendeleza kweli?
Wanasiasa wana udanganyifu sana
Kweli??Kuna watu walikuwa wanafyatua vyeti kule kariakoo walikamatwa na mashine zao je wameachiwa na mashine zao na mihuri? Maana nahitaji cheti cha form four
kweli nini?
Hiyo kitu nimejiuliza sana!!Kati ya 4000+ waliojiendeleza kielimu watakuwa wangapi? Waliofika mda wa kustaafu niwangapi?na zile stress mtu atajiendeleza kweli?
Wanasiasa wana udanganyifu sana
Unachosema ni kweli mama nasikia ana vikozi vya kuunga unga balaa ndo maana naye anashadadia ujjnga .mtu anafoji chei then anarudishwaRais achunguzwe pengine na yeye ni cheti feki. Kama umesota hadi kupata cheti kwa vyovyote huwezi kuoneo huruma mtu aliyefoji cheti kama chako na kupata faida kama uliyopata wewe au uliyokosa wewe kwa yeye kutumia cheti cha kufoji. Cheti feki wanastahili kua jela sio kurejeshwa kazini. Kwanza unawarejesha kwenye kazi gani maana hawakua na sifa kuajiriwa kwenye hiyo kazi?
Ww ni mhanga sio kwa hasira hiziLilikuwa ni zoezi la uonevu kisa tu hisia eti wafanyakazi walimpigia kura Lowasa. Kama ishu ilikuwa ni vyeti mbona majeshini akuwagusa na huko ndo vimejaa.Hizi dabo standard hazifai
Una uhakika na hikiElimu yenyewe haina maana!cheti kina maana gani sasa!!kama form six leaver anaweza fundisha vizuri tu kuliko hata mhitimu wa chuo cha ualimu!!!!Hata form six failure anaweza kufunzwa udaktari tu na akawa deep tu bila kujali ufaulu wake!!?
Kosa la kimfumo lilishafanyika...siyo sahihi kuwatesa wa upande mmoja.....Mama anajaribu kufanya balance of natureNi wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7.
Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko sawa.
Nilitegemea Hawa watu wawe mfano wa onyo la kughushi vyeti lakini ndio kwanza wanarudishwa kazini, ni sawa na mtu aliefungiwa account yake benki alipokamatwa akingiza noti feki ila sasa anasamehewa na zile noti feki zinahesabiwa kuwa orijino.
Vijana kibao wapo mitaani wamesoma kwa shida ili kumaliza degree / masters, kiukweli hawatendewi haki hawa vijana, Binafsi sikuwa fan wa magufuli lakini kuna mambo machache sana aliyoyafanya nilikuwa upande wake likiwemo hili swala la kuchomoa wanao ghushi vyeti,
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora imetangaza kuwarejesha kazini Wafanyakazi zaidi ya elfu nne (4000+) ambao waliondolewa kazini kutokana na kugushi vyeti katika maeneo mbalimbali lakini sasa kwa huruma ya Rais Samia watarejeshwa kazini kwa sharti la kuwa wawe wamejiendeleza kielimu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Mohamed Mchengerwa amesema "wale walioweza kujiendeleza ambao ni zaidi ya 4100 tayari wamerejeshwa kazini, pia tunao Watumishi 1150 ambao hawakufanikiwa kujiendeleza maana yake hawana sifa za kutosha kuendelea kuitumikia Serikali japo walikua ni Watendaji wazuri”
Rais Samia alishatuagiza kwamba hawa 1150 kutokana na utendaji wao uliotukuka Watumishi hao wote walipwe haki zao na stahiki zao kama vile wapo kazini kwahiyo watalipwa"
Hapa ndio mtego ulipokwa sharti la kuwa wawe wamejiendeleza kielimu.
CCM wanajua huu ni mgodi waoYaana natamani CCM WANGETOKA MADARAKANI HUENDA TANZANIA YETU INGEPONA MAAANA HAWA WATU NI WARAKU SANA
Mateso kila sehemu ajira tabuCCM wanajua huu ni mgodi wao
Mkuu karne hii bado watu wanaishi kwenye nyumba za tembe ndiyo ujue bado kuna shidaMateso kila sehemu ajira tabu
Pembejeo tabu
Ujenzi mateso
Vyakula navyo shida
Tozo kila sehemu wenyewewanasema wanajenga Tanzania mpyaa