Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

Yanatokea matatizo badala ya kukatisha ziara ndio kwanza anakwenda kuonana na wanaotuhumiwa.

Kweli tumepata Rais.
Matatizo gani yaliyotokea.nchi iko salama mkuu
 
Naona huko Hakuna kuvaa barakoa.
Na mikono wanashikana.
Huku tunaandaa matamasha ya kuhamasisha chanjo.
Mambo ni mengi!
Akitoka oman apite saudia kusalimia ndg na jamaa!
Ni kweli kaenda, na watu hamsemi!
Mna siri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…