kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Kenge kama huzi ndizo zipo Tanzania, nchi hii ina laana. Umezoea kujiuza unataka wote tuuzwe.Magu hakufaa kabisa. Bora tuuzwe tu. Hamna namna tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenge kama huzi ndizo zipo Tanzania, nchi hii ina laana. Umezoea kujiuza unataka wote tuuzwe.Magu hakufaa kabisa. Bora tuuzwe tu. Hamna namna tena
Kajiuze mwenyewe.Usitukumbushe ya magu ,bora tu watuuze
GwanyokoKajiuze mwenyewe.
Eneo la loliondo linamilikiwa na United Arab emirates yani UAE, Oman haina mpango na maswala ya wanyama wala ardhi ngorongoro,Oman inataka uhusuiano mzuri tu. hebu chunguza uone misaada iliyo toka Oman ndio utaelewa, acheni kupotosha watu na upumbavu wenu, au Tatizo ni elimu?Muhuni amemuita kuuliza hati zetu vipi? Mbona mda unaenda hamtukabidhi hati zetu za eneo na mpunga tulishawaingizia.
Bila shaka maza kapeleka hati za eneo katika safari hii😀 sasa mtamkumbuka yule muliemuita dhalimu aliokuwa akiwazingua mafisadi na wezi ambao ni wachache na ku favour mamilion ya masikini.
tatizo la baadhi yetu hawajui hata yanayo endelea duniani wao ni kuropoka tu. Wao wanakjua Uarabuni ni nchi moja.Idd Amini alkimbilia Saudi Arabia
Jamshid ana umri wa karibu miaka 100 sasa, arudi kufanya nini znz?Ikipigwa kura ya maoni kesho Zanzibar,kuna uwezekano wanaotaka Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said alirudi visiwani wakaibuka kidedea
Mkristo alie pita aliwabana kende mkabaki mnalialia hovyo, aliua ndugu zenu mkaogopa hata kusema wazi. Leo Mzazibari na Muislamu amerudi kuwastaarabisha na kuwarekebishia mambo. Watu msio na heri nyie.Ukimaanisha unampenda kwa vile ni muislamu au sijaelewa ?
Na mashoga kama wewe mko Mombasa?Kenge kama huzi ndizo zipo Tanzania, nchi hii ina laana. Umezoea kujiuza unataka wote tuuzwe.
Ana utu?
Mkristo alie pita aliwabana kende mkabaki mnalialia hovyo, aliua ndugu zenu mkaogopa hata kusema wazi. Leo Mzazibari na Muislamu amerudi kuwastaarabisha na kuwarekebishia mambo. Watu msio na heri nyie.
Yeye watu ambao huwa hawaamini ni watanzania wenzie na waafrika ila akikutana na rangi nyeupe aah anakuwa huru tu. Peter ilifikia wakati wakawa wanashikana tu.
Na hao maasai wameuawa na Magu?Mkristo alie pita aliwabana kende mkabaki mnalialia hovyo, aliua ndugu zenu mkaogopa hata kusema wazi. Leo Mzazibari na Muislamu amerudi kuwastaarabisha na kuwarekebishia mambo. Watu msio na heri nyie.
Mzungu anaye chimba madini na kupeleka kwake hatuoni povu lenu! Bali povu linawatoka kwa vitu ambavyo hamna hata vivid evidence navyo.Tunawatakia mauziano mema ya rasilimali zetu
Ni according to Katiba! Kama vile mirathi,akifa Baba yako,hakuna Jinsi Mama yako ndiyo atakua mrithi wake!!! Ni automatically hiyo haina ubishi!!!Kwa nini tunaongozwa na huyu lady?
Wengi humu jf ni vijana wa umri mdogo ! Mengi hawayajui !!Neno "Nafikiri" kama huna uhakika acha kukomenti mzee,