mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Watu wenye kuendekeza udini udini katika nchi hii huwa ni wachache sana na ndio maana wanakuwa hawana impact yeyote katika jami !! Watu sehemu zote za nchi wanaishi kama ndugu bila kuangalia huyu ni wa dini gani au ni wa kabila gani au ni wa rangi gani !! Usibabaike na wabaguzi maana Hao wapo tu duniani kote!! Na kote huko walipo huwa ni wenye kushindwa tu !! Piga kazi brother life is too short !!!Waarabu/waislamu wanawachukia, uislamu wanaupiga vita. Hawa watu sheikh ni hatari sana.