Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Morogoro kuna Laana Viongozi wengi wanaishia kutumbuliwa hasa DCs na RCs.
Dr Rutengwe na Dr. Kebbwe ni mashahidi
Hivi yule Bonge Mmmasai Loota Sanare amepotelea wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morogoro kuna Laana Viongozi wengi wanaishia kutumbuliwa hasa DCs na RCs.
Dr Rutengwe na Dr. Kebbwe ni mashahidi
Inabidi tumtag muhusikaKama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
Kumbe Mayalla ni kijana, basi narudi utotoni[emoji23][emoji23]Kijana mwenzetu @Pascal Mayalla nae akumbukwe kwenye dhamana zijazo
pasco anapewa U-DEDKama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
Mmoja hapo alikuwa muuaji,kwaiyo hakuna wakufanananaeWalipoambiwa
Samia = Magufuli
hawakuelewa? Unyumbu wao umewaponza
Kastaafu au kastaafishwa!Hivi yule Bonge Mmmasai Loota Sanare amepotelea wapi?
sabaya yupo? chala boy yupo? kama hawapo utasemaje mama na jiwe ni sawa? sasa hapa nyumbu ni nani?Walipoambiwa
Samia = Magufuli
hawakuelewa? Unyumbu wao umewaponza
Kuna hayawani nasikia wamepiga marufuku kutumia neno mwendazakeHuyu hana tofaut na mwendazake,
Miaka 35Hivi ujana mwisho miaka mingapi?
Kizazi hiki mna tabia za ajabu sana kwa nini mnaona fahari kutuonesha makalio yenu ?ili iweje sasa? Hizo tabia mtaenda motoni imekatazwa na vitabu vya dini. Kwa nini mnapenda kutumika kinyume na maumbile?Kama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
Hahahhahhaha we jamaaKizazi hiki mna tabia za ajabu sana kwa nini mnaona fahari kutuonesha makalio yenu ?ili iweje sasa? Hizo tabia mtaenda motoni imekatazwa na vitabu vya dini. Kwa nini mnapenda kutumika kinyume na maumbile?
Kama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
SAWA SAWAAnajulikana kwa majina ya Regina Chonjo DC wa Morogoro
Awahi hudumu akiwa DC Wilayani Nachingwea Mkoani Mtwara..
Kweli mkuu. Labda mleta mada ana lengo la kumchafua huyu mama wa watuumechemsha huyu mama alishastaafu. Morogoro aliteuliwa mzee mmoja kutoka TBC
Mwisho wake ni pale uzee unapoanzia.Hivi ujana mwisho miaka mingapi?