Rais Samia awatumbua Mkuu wa Wilaya Morogoro Bakari Msulwa na Mkurugenzi Morogoro Sheilla Lukuba Kwa Mgambo Kuwapiga Wamachinga

Kama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
Inabidi tumtag muhusika
 
Kama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
pasco anapewa U-DED
 
Kuna video ilionekana kwa tv huko morogoro ikionyesha mgambo wakifukuza wamachinga na kuharibu vitu vyao, ndo Mama kawatumbua DC na ded,, kwamba walikuwa na njia nyingi za kuwahamisha hao wamachinga bila kuharibu vitu vyao. Mama hoyeee
 
Kama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
Kizazi hiki mna tabia za ajabu sana kwa nini mnaona fahari kutuonesha makalio yenu ?ili iweje sasa? Hizo tabia mtaenda motoni imekatazwa na vitabu vya dini. Kwa nini mnapenda kutumika kinyume na maumbile?
 
Hahahhahhaha we jamaa
 
Kumradhi Wana JF:
DC aliyetumbuliwa sio Ms Regina Chonjo DC aliyehudumu Wilaya za Morogoro Mjini na Nachingwea.

Ms Regina Chonjo alistaafu Juni 21, 2020 na nafasi yake aliteuliwa Mheshimiwa Bakari Msulwa

images (2).jpeg

download (1).jpeg

images.jpeg
 
umechemsha huyu mama alishastaafu. Morogoro aliteuliwa mzee mmoja kutoka TBC
 
Back
Top Bottom