Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote.

Mungu akimpa kibali mtu cha kuwa Kiongozi humpatia pia maarifa na njia za kuongoza Taifa husika ili kulifikisha salama mahali alipokusudia Mungu. Sasa kwa kuwa Rais Samia ni Mpango wa Mungu na ni chaguo la Mungu, ndio maana mnaona kama Taifa tumeendelea kuwa na mafanikio na kuvuka mitihani yote kama Taifa.

Habari njema ni kuwa kwa Sasa hata ikitokea Mvua haijanyesha hata tone kwa misimu mitatu mfululizo.Taifa letu bado litaendelea kuzalisha Umeme kama kawaida na litaendelea kuwa na Mwanga hadi vichakani huko na shughuli za uzalishaji zitaendelea kama kawaida bila kukwama wala kukatika kwa umeme.

Hii ni baada ya Rais Samia kuwekeza Mabilioni kwa Matrilioni ya pesa katika mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ambapo alilikuta likiwa 33% ,lakini mpaka sasa lipo 99.8% . Ambapo mpaka sasa limeweza kuzalisha megawati 1880 ambazo zimeunganishwa moja kwa moja kwenye grid ya Taifa.

Lakini pia ni katika uwekezaji huo wenye dhamira ya dhati umewezesha na kulipa uwezo Bwawa hilo kuhimili kukusanya lita za Maji zaidi ya Billion 2, ambazo zina uwezo wa kutosheleza kuzalisha Umeme kwa miaka mitatu mfululizo hata ikitokea mvua haijanyesha kwa miaka hiyo yote.

Mpaka sasa kama Nchi tuna umeme mwingi kupita mahitaji ya Nchi. Ambapo tuna megawati takribani 3500 wakati mahitaji yetu ni megawati kama 1880 .na hapo ikumbukwe ya kuwa bwawa la Mwalimu Nyerere likikamilika litakuwa linazalisha megawati 2115. Ambapo tutaanza kuuza umeme mwingine nje ya Nchi kama ambavyo tupo Mbioni kuwauzia Kenya na Zambia.

Kwa hakika Rais Samia ni zaidi ya Mwanadamu wa kawaida. Ni kiongozi mwenye uwezo mkubwa sana wa kiakili na upeo wa kiwango cha juu sana. Ni kiongozi mwenye maono na shabaha kali sana. Ni kiongozi ambaye anaishi mbele ya wakati. Anajua masuala ya mabadiliko ya tabia ya Nchi na ndio maana alipambana kwa hali na mali kukamilisha mradi huu wa kimkakati wa uzalishaji wa umeme ili ikitokea la kutokea la ukame tuwe salama kama Nchi.

Angekuwa kiongozi mwingine mwenye upeo mdogo na akili fupi asingethubutu kuukamilisha mradi huu .badala yake angejikita kwenye vitu vyepesi na vidogo vidogo. Lakini Rais wetu kwa kuwa ni akili kubwa na mtu mwenye maono na upeo wa juu aliona mbele na kujua afanye nini juu ya kesho njema ya Taifa letu kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.

Halafu unashangaa anatokea mtu huku na ulevi wake wa gongo aliyokunywa akiwa na njaa tumboni anajiropokea za zake kwa kusema kwanini Rais Samia hajashindanishwa ndani ya chama chake?.

Hivi unaweza vipi mshindanisha mtu mwenye upeo na akili kubwa kiasi hiki? Umshindanishe na nani? Katika Mzani upi? Unafikiri wana CCM ni wajinga walioamua kumpitisha kuwa mgombea pekee wa chama? Unafikiri hawatambui thamani yake? Unafikiri wana CCM waliokataa kuchukua Fomu za Urais ni wajinga?
Screenshot_20250216-184427_1.jpg

Huyu hapa
Screenshot_20250215-121802_1.jpg
Screenshot_20241022-103335_1.jpg
ndiye Nembo ya Taifa letu na aliyebeba hatima yetu. Asante Mungu kwa Maisha ya Rais Samia hapa Duniani. yameleta Neema na tabasamu kwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania huku mioyo yao ikiwa na matumaini tele.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote.

Mungu akimpa kibali mtu cha kuwa Kiongozi humpatia pia maarifa na njia za kuongoza Taifa husika ili kulifikisha salama mahali alipokusudia Mungu. Sasa kwa kuwa Rais Samia ni Mpango wa Mungu na ni chaguo la Mungu, ndio maana mnaona kama Taifa tumeendelea kuwa na mafanikio na kuvuka mitihani yote kama Taifa.

Habari njema ni kuwa kwa Sasa hata ikitokea Mvua haijanyesha hata tone kwa misimu mitatu mfululizo.Taifa letu bado litaendelea kuzalisha Umeme kama kawaida na litaendelea kuwa na Mwanga hadi vichakani huko na shughuli za uzalishaji zitaendelea kama kawaida bila kukwama wala kukatika kwa umeme.

Hii ni baada ya Rais Samia kuwekeza Mabilioni kwa Matrilioni ya pesa katika mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ambapo alilikuta likiwa 33% ,lakini mpaka sasa lipo 99.8% . Ambapo mpaka sasa limeweza kuzalisha megawati 1880 ambazo zimeunganishwa moja kwa moja kwenye grid ya Taifa.

Lakini pia ni katika uwekezaji huo wenye dhamira ya dhati umewezesha na kulipa uwezo Bwawa hilo kuhimili kukusanya lita za Maji zaidi ya Billion 2, ambazo zina uwezo wa kutosheleza kuzalisha Umeme kwa miaka mitatu mfululizo hata ikitokea mvua haijanyesha kwa miaka hiyo yote.

Mpaka sasa kama Nchi tuna umeme mwingi kupita mahitaji ya Nchi. Ambapo tuna megawati takribani 3500 wakati mahitaji yetu ni megawati kama 1880 .na hapo ikumbukwe ya kuwa bwawa la Mwalimu Nyerere likikamilika litakuwa linazalisha megawati 2115. Ambapo tutaanza kuuza umeme mwingine nje ya Nchi kama ambavyo tupo Mbioni kuwauzia Kenya na Zambia.

Kwa hakika Rais Samia ni zaidi ya Mwanadamu wa kawaida. Ni kiongozi mwenye uwezo mkubwa sana wa kiakili na upeo wa kiwango cha juu sana. Ni kiongozi mwenye maono na shabaha kali sana. Ni kiongozi ambaye anaishi mbele ya wakati. Anajua masuala ya mabadiliko ya tabia ya Nchi na ndio maana alipambana kwa hali na mali kukamilisha mradi huu wa kimkakati wa uzalishaji wa umeme ili ikitokea la kutokea la ukame tuwe salama kama Nchi.

Angekuwa kiongozi mwingine mwenye upeo mdogo na akili fupi asingethubutu kuukamilisha mradi huu .badala yake angejikita kwenye vitu vyepesi na vidogo vidogo. Lakini Rais wetu kwa kuwa ni akili kubwa na mtu mwenye maono na upeo wa juu aliona mbele na kujua afanye nini juu ya kesho njema ya Taifa letu kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.

Halafu unashangaa anatokea mtu huku na ulevi wake wa gongo aliyokunywa akiwa na njaa tumboni anajiropokea za zake kwa kusema kwanini Rais Samia hajashindanishwa ndani ya chama chake?.

Hivi unaweza vipi mshindanisha mtu mwenye upeo na akili kubwa kiasi hiki? Umshindanishe na nani? Katika Mzani upi? Unafikiri wana CCM ni wajinga walioamua kumpitisha kuwa mgombea pekee wa chama? Unafikiri hawatambui thamani yake? Unafikiri wana CCM waliokataa kuchukua Fomu za Urais ni wajinga?View attachment 3238172

Huyu hapa View attachment 3238175View attachment 3238178ndiye Nembo ya Taifa letu na aliyebeba hatima yetu. Asante Mungu kwa Maisha ya Rais Samia hapa Duniani. yameleta Neema na tabasamu kwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania huku mioyo yao ikiwa na matumaini tele.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umesqhau kuweka number ya simu.....utabunujikwaje na machozi?
 
Ndugu Wateja,

Tunaomba mpokee taarifa ya katizo la umeme linalotarajiwa kufanyika siku ya kesho Jumatatu tarehe 17/02/2025 kama maeneo yalivyoainishwa Katika tangazo hili.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza kipindi huduma inakosekana.
 
Msipoteze muda vijana wa siku hizi ni trend tu na kwasasa trend ni Lissu na Heche . Mama njia ya wasanii imegoma😂. Haya maelezo hakuna anaye jali

Mama angeweka katiba mpya hapa leo angekuwa trend lakini mabwawa na treni 😂 sio kwa vijana hawa wa mitandao
 
tusijipange na kutokunyesha mvua pekee vipi zitakaponyesha mvua kubwa na kupasua kingo za bwawa.
Kwa hiyo wewe unawaza kupasuka kingo tu. Hufahamu pale kwenye Bwawa kutafanyika shughuli zingine za kiuchumi kama vile uvuvi. Kwa hiyo maji yakijaa kwenye bwawa kuu yanaelekezwa na kuongozwa kwenye mabwawa ya kufuga samaki kwa ajili ya masuala mazima ya uvuvi.
 
Usidanganyike Wewe Ama Kudanganya Watu, CCM Kamwe Haipo Tayari Kutatua Matatizo Ya Tanzania. Wao Maneno Tu, Serikali Hii Ya CCM Zamani Ilikuwa Inamwaga Maji Kwenye Mabwawa Kuleta Mgawo Wauze Generator
 
Acha habari za uzushi ndugu yangu mtanzania. Serikali ya CCM imekuwa na dhamira njema na utayari mkubwa sana wa kushughulika na kutatua changamoto za watanzania.
 
Back
Top Bottom