Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

Uko sahihi itakuwa, legacy ya Magufuli na siyo mtu mwingine.
Andiko langu lipo wazi kabisa kuelezea kazi kubwa iliyofanywa na Rais wetu Mpendwa katika Bwawa hilo alilolikuta likiwa 33%. Hayati Dkt Magufuli alifanya kwa Sehemu yake na Mama yetu amekuja kufanya kwa Sehemu yake kama ilivyo utamaduni wa CCM kuanzia pale alipoishia Mtangulizi wako.
 
Hivi ni vichekesho
 
we kilaza unalishwa kila kitu unadaka na kumeza kuna siku utapewa mavi ule utambiwa ni keki hujui hata unachokizungumza mafi kabisa
 
Ujinga mtupu wakati kuna wahuni wanazitaka Trillion 4 yaan kuna watu TANESCO wameifanya yao na serikali haina cha kusema mbele yao
 
He hii kali tena, hebu punguza basi, chumvi ikiwa nyingi mchuzi hautaweza kuunywa.
 
Nakazia legacy ya JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…