Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

Suala dogo tu kama umeme limewashinda
 
Watu wa aina hii ndio
Wanawafanya watanzania waonekane binadamu wenye IQ ndogo kuliko wote
 
Mwenye Bwawa lake anajulikana; Afrika; Uarabuni na dunia nzima inamfahamu. Mwenyezi Mungu amrehemu
 
kuhusu hili bwawa watanzania tukapige magoti ya shukrani kwenye kaburi Chato, mwendazake alijitoa sana alipingwa ndani na nje lakini alikaza balaaa
 
Unajua alilikuta likiwa asilimia ngapi?
hata angekuta asilimia 22 kazi sio kumalizia vya watu kazi kufanya maamuzi magumu huku unapingwa ndani na nje, ujerumani mpaka walitujadili bungeni mwamba akakaza, zito alifungua kesi mahakamani mwamba akakaza, wapinzani wake ndani ya ccm na chadema walileta vioja nia aache akakaza, wanaharakati wa mazingira walimshtaki nakuleta vitakwimu zao mwamba akakaza , hiyo ndo ilikuwa sehemu ngumu, kuhamia dodoma miaka 41 viongozi wote wameshindwa mwamba ilimchuua mwaka 1 tu kuhamia , bwawa toka mwaka 72 upembuzi ulishafanyika mwamba amejenga now, nipe ujasiri wa huyu mpya? mmoja tu
 
Hapa najikosoa kidogo mama kafanya vizuri sana kwenye kilimo , hapo nampa big up sana ,utalii na kurudisha mahusiano na mataifa mengine labda na DP world japo nilitamani sana tungeiendesha wenyewe
 
Mchina ameleta generator za solar za KV 1000 na anauza bei ndogo mno.Hiyo inatosha kuendesha miji midogo,ndio maana generator za mafuta zimeshuka bei.Huu umeme wa maji tuendelee kuombeana akili zaidi,huenda kukawa na kilio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…