Pre GE2025 Rais Samia awekwe kwenye Noti/Sarafu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtaji wa wanasiasa bongo, ni ujinga wa wananchi.
Mkuu amini wenye akili kama za mtoa thread ni wengi. Yani badala ya kupendekeza mambo ya maana wao uchawa uchawa. Sasa hata tuseme kweli anafanya mazuri kwa mfano, kuwekwa kwenye sarafu kunatunufaishaje
 
Ukweli ndiyo huo.
 
ndio maana nikasema nchi chache, mimi skusema yeye ndo wa kwanza, halatu tuna noti zaidi ya nne kwani mama akikaa kwenye noti moja kuna ubaya?
 
Mna shida gani nyie Wazanzibari??? Uchumi umepanda kwenu siyo Tanganyika
 
Mkuu amini wenye akili kama za mtoa thread ni wengi. Yani badala ya kupendekeza mambo ya maana wao uchawa uchawa. Sasa hata tuseme kweli anafanya mazuri kwa mfano, kuwekwa kwenye sarafu kunatunufaishaje
Na ndio moja ya sababu ya nchi hii kutokuendelea, wajinga ni wengi mnooo, na werevu wanajitoa akili mradi mkono uende kinywani
 
Nim
Hajauza bhana amewapa waendeshe kisasa zaidi ili kuboresha utendaji wa bandari.
mbn Dp world inaendesha bandari za nchi nyingi tu
Nimegundua, ulitamani mama atukanwe!! Mpuuzi kweli wewe
 
ndio maana nikasema nchi chache, mimi skusema yeye ndo wa kwanza, halatu tuna noti zaidi ya nne kwani mama akikaa kwenye noti moja kuna ubaya?
Anaweza kuweka kwenye Sarafu maalumu ya kutimia miaka 100 ya Muungano.
 
Kwa lipi na kwa kazi ipi
 
Ni kweli, kwa kuwa ni mwanamke wa kwanza kuwa rais wa Tanzania anastahili kuwepo kwenye noti/sarafu angali yupo madarakani na sio baadae sana ndio awekwe kama kumbukumbu ya kihistoria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…