Pre GE2025 Rais Samia awekwe kwenye Noti/Sarafu

Pre GE2025 Rais Samia awekwe kwenye Noti/Sarafu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtaji wa wanasiasa bongo, ni ujinga wa wananchi.
Mkuu amini wenye akili kama za mtoa thread ni wengi. Yani badala ya kupendekeza mambo ya maana wao uchawa uchawa. Sasa hata tuseme kweli anafanya mazuri kwa mfano, kuwekwa kwenye sarafu kunatunufaishaje
 
Hata mumpambe vipi kwetu Tanganyika huyo ni kama Julius Von Soden. Muda wake ukifika tutamsahau kabisa.
Hana tofauti na magavana wa Kijerumani au Kiingereza waliotawala Tanganyika

Kumbuka hata Malkia alikuwa kwenye coin za Tanganyika. Ila kwa sasa ziko wapi hizo coin?
Ukweli ndiyo huo.
 
Yeye si Rais wa kwanza Africa alikuwepo Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia, Akaja Joyce Banda wa Malawi. Na wapo wa nyazifa za Urais kama Sahel Wok Zewde nk. Tumeisha jiwekea utaratibu kuwa baada ya Nyerere kuwa kwenye noti ya elfu moja. Hakuna mwingine mwingine ataka yewekwa kwenye noti zetu. Kuna Marais wamefanya makubwa kwa nchi hii na hawakupewa fursa hiyo seuse Mama. Atulie amepewa nafasi adhim ya kutawala hii inchi Tanganyika inatosha
ndio maana nikasema nchi chache, mimi skusema yeye ndo wa kwanza, halatu tuna noti zaidi ya nne kwani mama akikaa kwenye noti moja kuna ubaya?
 
Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke.

Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake.

Tangu mama ameshika nchi uchumi umekuwa kwa kasi na mambo yanaenda. Je, hamuoni kuwa ni sahihi mama awekwe kwenye noti yetu ili akumbukwe vizazi na vizazi?

Nawasilisha.
Mna shida gani nyie Wazanzibari??? Uchumi umepanda kwenu siyo Tanganyika
 
Mkuu amini wenye akili kama za mtoa thread ni wengi. Yani badala ya kupendekeza mambo ya maana wao uchawa uchawa. Sasa hata tuseme kweli anafanya mazuri kwa mfano, kuwekwa kwenye sarafu kunatunufaishaje
Na ndio moja ya sababu ya nchi hii kutokuendelea, wajinga ni wengi mnooo, na werevu wanajitoa akili mradi mkono uende kinywani
 
ndio maana nikasema nchi chache, mimi skusema yeye ndo wa kwanza, halatu tuna noti zaidi ya nne kwani mama akikaa kwenye noti moja kuna ubaya?
Anaweza kuweka kwenye Sarafu maalumu ya kutimia miaka 100 ya Muungano.
 
Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke.

Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake.

Tangu mama ameshika nchi uchumi umekuwa kwa kasi na mambo yanaenda. Je, hamuoni kuwa ni sahihi mama awekwe kwenye noti yetu ili akumbukwe vizazi na vizazi?

Nawasilisha.
Kwa lipi na kwa kazi ipi
 
Ni kweli, kwa kuwa ni mwanamke wa kwanza kuwa rais wa Tanzania anastahili kuwepo kwenye noti/sarafu angali yupo madarakani na sio baadae sana ndio awekwe kama kumbukumbu ya kihistoria.
 
Back
Top Bottom