Mkuu amini wenye akili kama za mtoa thread ni wengi. Yani badala ya kupendekeza mambo ya maana wao uchawa uchawa. Sasa hata tuseme kweli anafanya mazuri kwa mfano, kuwekwa kwenye sarafu kunatunufaishajeMtaji wa wanasiasa bongo, ni ujinga wa wananchi.