Kwanini hawa manesi hawavai gloves?SHAKA APATA CHANJO YA CORONA LEO.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ameungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mhe Samia Suluhu Hassan kupata chanjo ya Uviko-19 leo Jumatano Julai 28, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
#Chukua tahadhari, Corona ipo na inaua.
View attachment 1871630
Kadungwe chanjo ya ubongo akili ikukae sawa achana na marehemu.Watu hawataki kusikia chanjo kwa sababu ya tahadhari za yule marehemu
Musifikiri tunapendwa sana
Sawa sawaHata ukiwa taabani ukichoma haikusaidii kawasalimie waenda zao tu.
Unaongelea siasa hasimu katika mambo ya UHALISIA?!!!Mpumbavu mmoja ameketi viunga vya ikulu.
Hawazi wala kufikiri juu ya kesho ya wajukuu zake kisa tamaa za kipumbavu anafikiri Tanzania itaishia yeye alipo kumbe Tanzania ipo na itakuwepo milele.
Mungu mfungue macho hichi kibibi
Kuwa na adabuMpumbavu mmoja ameketi viunga vya ikulu.
Hawazi wala kufikiri juu ya kesho ya wajukuu zake kisa tamaa za kipumbavu anafikiri Tanzania itaishia yeye alipo kumbe Tanzania ipo na itakuwepo milele.
Mungu mfungue macho hichi kibibi
Nyhanda.. Mwendazake ameshakufa. Acha kutaabika, chukulia maisha Kama yalivyo nyMpumbavu mmoja ameketi viunga vya ikulu.
Hawazi wala kufikiri juu ya kesho ya wajukuu zake kisa tamaa za kipumbavu anafikiri Tanzania itaishia yeye alipo kumbe Tanzania ipo na itakuwepo milele.
Mungu mfungue macho hichi kibibi
Leo nakuunga mkono, kitu kibaya zaidi sumu kali wanaitoa wana ccm a.k.a Gwaji gangUnaongelea siasa hasimu katika mambo ya UHALISIA?!!!
Wewe hujawahi kupata chanjo yoyote?!!
Kwanini isiwe na hii?!!
Una ushahidi wa kuwepo "sumu" ndani ya chanjo ya J&J?!!.
Umefanya tafiti ya kisayansi ama "unang'ela pang'ang'a" za kusikia juu ya "illogical conspiracy theories"?!!!
Tupe ushahidi wa kihoja......
#TujitokezeniKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Kuna watu mafala sana wasameheKuwa na adabu
Utakuwa umevurugwa wewe mwanaume suruali, shika adabu yakoMpumbavu mmoja ameketi viunga vya ikulu.
Hawazi wala kufikiri juu ya kesho ya wajukuu zake kisa tamaa za kipumbavu anafikiri Tanzania itaishia yeye alipo kumbe Tanzania ipo na itakuwepo milele.
Mungu mfungue macho hichi kibibi
Utakuwa umevurugwa wewe mwanaume suruali, shika adabu yakoMpumbavu mmoja ameketi viunga vya ikulu.
Hawazi wala kufikiri juu ya kesho ya wajukuu zake kisa tamaa za kipumbavu anafikiri Tanzania itaishia yeye alipo kumbe Tanzania ipo na itakuwepo milele.
Mungu mfungue macho hichi kibibi
Mimi sijaongelea sumuUnaongelea siasa hasimu katika mambo ya UHALISIA?!!!
Wewe hujawahi kupata chanjo yoyote?...
Hujui utendalo nikusamehe bureUtakuwa umevurugwa wewe mwanaume suruali, shika adabu yako