#COVID19 Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo
Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha.

Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa pamoja.

WAZIRI WA AFYA, GWAJIMA
=>
Leo ni siku ya kihistoria ambayo tunachukua silaha za kisasa kwenda kupambana na Uviko

= > Hayati Magufuli alisema wizara ya Afya isikimbilie machanjo bila kujiridhisha, leo kuna watu wanapotosha.

=>Huko, Vifo vilikuwa vinafika 3000 mpaka 4000 kwa siku sasa hali imebadilika

=> Eti chanjo inavuruga utu wa mtu, ni uongongo, tutalieleza. Wa HIV ndio angeenda kupangua huo utu.

=> Maabara tunazo, wataalam tunao. Watanzania wasiwe na hofu. Vitu vyote hakuna visivyo na madhara lakini tunaoutways faida kuliko madhara. Mbona ukinywa Quinene kichwa kinauma, fragile ambae ni malkia wa maumivu ya tumbo pia ina madhara.

=> Mie ndio waziri wa Afya nimeapa, siwezi kumshauri Rais vibaya, naomba wanahabari mzingatie maadili yenu, wale mnaokata ujumbe usiojitosheleza kuongeza followers Mungu anawaona


WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA
=>Nikiwa mwenyekiti wa kamati inayoratibu ugonjwa wa Covid, tukuhakikishie tunaendelea kukaa pamoja, kuratibu na kushauri pia tumeendelea kupokea miongozo ya kitaalam kutoka kwa wataalam wetu.

=> Hatua mbalimbali zimechukuliwa duniani kote, tumepata uzoefu ikiwemo uchanjaji na leo tumeanza kuhamasisha watu kuchanja kudhibiti ugonjwa huu. Wataalam wamepata elimu ya kutosha ndani na nje ya nchi.

=> Mie nimekubali kuungana nawe kuchanja kuonyesha Serikali haina nia mbaya kwa wananchi wake, Mheshimiwa Rais ameapa kulitumikia Taifa hili, tunachokileta kwenu kimetokana na utafiti, sisi tuko pamoja nawe na maamuzi haya tunakupongeza sana.

=> Huku tumefanya mambo mengi, Mheshimiwa Rais leo ni siku yako.

RAIS SAMIA SULUHU
=> Juzi kupitia ubalozi wa Marekani tumepokea chanjo hizi, leo baada kuthibitishwa na wizara ya Afya tunaanza kuzitumia. Niwashukuru wote mlioko hapa kuniunga mkono kuonyesha chanjo sio balaa

Kuna ambao wanalikataa lakini wengi wanalikubali, jana nilikuwa na mazungumzo na CDC na alinieleza jinsi umoja wa Afrika tulivyojipanga kukabiliana na jambo hili na jana alitaka tuweke oda yetu ya chanjo, tumetengeza fungu la fedha na jana tumeweza kuweka oda yetu

=> Jitahada zitafanywa kwa wale wote ambao wako tayari kuchanjwa kuhakikisha inapatikana. Kwenye mwili wangu nina chanjo tano na leo ya sita, madhara yalikuwepo wakati ule lakini tulipona na tupo tunaendelea, chanjo ni imeni na kwa wale wenye imani potofu wizara mfanye kazi

=> Pamoja na chanjo nirudie wananchi kuchukua tahadhari, wasanii wamesema vizuri.

=> Kama haujaguswa na maradhi unaweza sema unavyoweza, ila walioguswa na wanatamani kupata chanjo hata sasa hivi

=> Johnson & Johnson ni chanjo moja tu, zile nyingine ndio unachoma mbili. Mtakaochoma leo, msiache kujilinda kwa kuwa wengine hawajachanja bado.


FUATILIA LIVE:


Watalaamu bongo mbele ya mzungu.wanaopima ama wanaamua kuwa waafrika wajue mpaka hapa mwisho basi.

Ni kwa Nini wamekutoa kuwa ulipatwa na shida haitohusika.
 
Halafu sio Kila Jambo linahamasishwa kwa nyimbo,hili la chanjo linahitaji wananchi kupewa elimu na wataalamu sio mje na singeli inaitwa chanjo kwa mpalange.
 
Ile sio familia yake ni mkusanyiko wa vilaza ambao hana nasaba nao yoyote.
Kipenzi usiamini kila unachoskia, Gwaji sio kichaa kuamua kuongea vile na familia yake

Maendeleo hayana vyama
 
Takwimu za maambukizi Tanzania ulizapata wapi wewe ngumbaru?
Uwezo wetu mdogo sana, yani tumeshindwa hata kutuma watalamu watuletee report kwa nini nchi zilizoanza kuchanja tangu mwaka 2020 mfano Rwanda bado maambukizi ya corona ni makubwa kuliko Tanzania?
 
Hahahha gwajima, lazima PCB,CBG,PCM zipande ndo uweze kuwa na uwezo wa kuchangia kuhusu chanjo.

Mambo ya molecular biology lazima ujue. Analytical chemistry inahusika.

Wataalam wapo. Yaaan
Yeye kama zinapanda mbona chanjo tumeleta kutoka nje?
Lazima tujue kutofautisha wasomi na wanaokariri kilichoandikwa na wasomi
 
HAKUNA wa kunifukuza nchini mwangu....mimi ni raia wa vizazi vingi nyuma.....

Ila CCM ni chama chenye kanuni zake....wameshawahi kufukuzwa WENGI wenye kaliba kubwa ya kisiasa zaidi yake mbunge Gwajima.....

HASHTAG Gwajima afukuzwe ndani ya CCM

#GwajimaAfukuzweCCM
#JMTMilele
#NchiKwanza
Kujiheshimu ni kitu kidogo sana Wala hakihusiani na umri unaweza kuwa mkubwa kumbe nanga tu
 
Kesho mapema naenda kuchomwa chanjo yangu.
chanjo ya JJ ni moja tu unakuwa umemaliza haina kurudia.
Ahsante Rais wetu kwa uamuzi sahihi.
 
Kipenzi usiamini kila unachoskia, Gwaji sio kichaa kuamua kuongea vile na familia yake

Maendeleo hayana vyama
Fuata ushauri wa Gwajima, ila sasa sijui gwajima yupi[emoji848][emoji848]. Utajua mwenyewe![emoji28][emoji28]
 
Kesho mapema naenda kuchomwa chanjo yangu.
chanjo ya JJ ni moja tu unakuwa umemaliza haina kurudia.
Ahsante Rais wetu kwa uamuzi sahihi.
Nenda si unadhani utapewa tuzo kimbiza kwato mapema
 
Walifukuzwa akina hayati Aboud Jumbe na HAKIKUNUKA.....

Alifukuzwa hayati Maalim Seif Sharrif Hamad na HAKIKUNUKA.....

Gwajima ni nani ?!!!

Gwajima nani bwana?!!!

Watu aliokuwa nao ni wale anawaongoza "fikra zao".....

HASHTAG GWAJIMA afukuzwe CCM

#GwajimaAfukuzweCCM
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
Nafikiri ungefungua uzi wako Ili uweke hizo hashtags zako,kwanye huu uzi unaonekana kichaa tu kwasababu hoja unazotoa na kinachojadiliwa ni tofauti.

Mimi ni mwanachama wa CCM ila unachokifanya hapa,kitafanya ile kauli ya BAVICHA kuwa "CCM imejaa vichaa" ionekane inaukweli.
 
Nafikiri ungefungua uzi wako Ili uweke hizo hashtags zako,kwanye huu uzi unaonekana kichaa tu kwasababu hoja unazotoa na kinachojadiliwa ni tofauti.

Mimi ni mwanachama wa CCM ila unachokifanya hapa,kitafanya ile kauli ya BAVICHA kuwa "CCM imejaa vichaa" ionekane inaukweli.
Ok mkuu 👍
 
Uwezo wetu mdogo sana, yani tumeshindwa hata kutuma watalamu watuletee report kwa nini nchi zilizoanza kuchanja tangu mwaka 2020 mfano Rwanda bado maambukizi ya corona ni makubwa kuliko Tanzania?

Tunachanja we kalilie kwenye kaburi la Yule mchawi wenu shwaini
 
Back
Top Bottom