Rais Samia azindua daraja la Selander (Tanzanite), ataka liwekewe nembo ya Tanzanite sio Mwenge

Mvuto umepotea sn hasa baada ya kushindwa kusimama kama Rais wananchi wana hali mbaya sn
 
Kwenye mazuri tusimtenganishe, Ila kwenye mabaya tumtenganishe?
 
Hongera sana Kwa Mhe. Rais, unapoona miradi inazinduliwa au kuwekwa mawe ya Msingi inamaana kazi zimefanyika/Zinafanyika 👏👏👏💪

Ila napendekeza awe anapewa interval ya kupumzika kidogo.

Juzi alikuwa Chalinze, baadaye M/City kwenye kilele Cha Wiki ya Maji hadi saa 1 Jioni.

Jana alikuwa Magomeni Kota

Leo yupo Mjini Kati kuzindua Dalaja la Sulender.

Kama mtaona inafaa walau awe anapewa siku 3-4 kupumzika kabla ya tukio linalofuata.
 
Reactions: Ame
Inatafuta justification ya kuwa Dar mda mwingi..Na watu halo ndo wanazibua perdiems


 
Inatafuta justification ya kuwa Dar mda mwingi..Na watu halo ndo wanazibua perdiems
Hahahaha...........wakiamua kula Perdiem hata wakiwa Dodoma si wataenda kuzindua/Kuweka mawe ya Msingi Mikoani?

Hivyo swala la Posho kwao ni lazima

Mimi worry yangu ni kwenye afya ya Mhe. Manake hapewi muda wa kupumzika.
 
 
Pambaf sana hawa jamaa..

Uzinduzi wa daraja na chama wapi na wapi? Anazindua kama Rais na sio mwenyekiti wa chama!!
 
Wakati mwingine Ndiyo inasababisha hata vikao vya chama kufanyika Ikulu. Huu ni udhaifu mkubwa sana tunao.

Ingefaa hata ikawekwa kwenye Katiba mpya (sijui kama ilipendekezwa kwenye ile rasimu), kwamba Kiongozi akiisha chaguliwa kuwa Raisi wa nchi hawezi tena kunedelea na uwenyekiti wa Chama chake.

Hii iko wazi kabisa kwamba inagonganisha maslahi ya nchi/serikali na chama tawala. Na ni hapo hapo inapelekea hata Bunge kukosa nguvu kama taasisi huru ya Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…