Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Agakhan - Upanga jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua daraja la Selander (Tanzanite) na barabara unganishi leo tarehe 24 Machi 2022.
===
Rais Samia Suluhu Hassan ametaka alama ya Mwenge katika Daraja la Tanzanite iondolewe na iwekwe alama ya Tanzanite ili watu waione inafananaje. Rais amesema Mwenge ni tunu ya nchi, lakini wananchi wametaka Tanzanite ili kukamilisha jina la Daraja hilo
Pamoja na hayo Rais ametoa wito kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la sensa linalotarajiwa kufanyika Oktoba 2022

Hata mtangulizi wake mwanzo alikua anazindua miradi ya kikwete!!
Ni kama mtangulizi wake nae alikua anazindua miradi ya kikweteMiradi ya awamu ya 6 bado kuanza kuzinduliwa
Ndio lipo sasa 😂😂 lisingekuepo kungekua na njia nyingine!!Inchi nyingi zilizoendelea lazima ziwe na barabara zaidi ya moja ya kuingia mjini.
Hvi Mfano daraja la salender lingekuwa halipo,
Leo watu wangekwendaje mjini na jangwani kumejaa maji?
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Wewe ni kenge,unaweza nipa idadi ya miradi aliyozindua Samia na mimi nikupe ya Mwendazake.Haikuwa Mingi kama Ya Jpm Tena Ukilinganisha na Mtu alokaa Madarakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Akisafiri mnasema,akienda kuzindua mnasema.Wazee wa propaganda wa Sisiemu wanafeli sana...
Rais kila siku yuko kwenye runinga.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Agakhan - Upanga jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua daraja la Selander (Tanzanite) na barabara unganishi leo tarehe 24 Machi 2022.
===
Rais Samia Suluhu Hassan ametaka alama ya Mwenge katika Daraja la Tanzanite iondolewe na iwekwe alama ya Tanzanite ili watu waione inafananaje. Rais amesema Mwenge ni tunu ya nchi, lakini wananchi wametaka Tanzanite ili kukamilisha jina la Daraja hilo
Pamoja na hayo Rais ametoa wito kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la sensa linalotarajiwa kufanyika Oktoba 2022
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Agakhan - Upanga jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua daraja la Selander (Tanzanite) na barabara unganishi leo tarehe 24 Machi 2022.
===
Rais Samia Suluhu Hassan ametaka alama ya Mwenge katika Daraja la Tanzanite iondolewe na iwekwe alama ya Tanzanite ili watu waione inafananaje. Rais amesema Mwenge ni tunu ya nchi, lakini wananchi wametaka Tanzanite ili kukamilisha jina la Daraja hilo
Pamoja na hayo Rais ametoa wito kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la sensa linalotarajiwa kufanyika Oktoba 2022
Spesho = maalum?Hata mamake Yesu, Bi Maryam, sijawahi muona akikosa "mashuka" kichwani.
Kwa kukujuza tu, ile huitwa mitandio, ni spesho kwa kazi hiyo, siyo nyinyi wakuja mnafungasha kitenge doti nzima kichwani.
Mama'ko vipi, hajifuniki "mashuka" kichwani? Au mpaka akieda mazikoni na kanisani tu?
Ndy tungepita wapi sasa?Umesahau Jangwani pia inajaa maji mpaka mvua iache!!!!
Akisafiri mnasema,akienda kuzindua mnasema.
Kwanza naunga mkono hoja Rais azindue miradi mingi kadiri inavyowezekana ila tunaomba aje na mikoa mingine.
Kwa mda sasa amekuwa akitembelea Dar,Dom,Kaskazini , Lake zone na Zanzibar.
Kusini,magharibi na Nyanda za Juu sijamuona.