Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua anapokea amri kutoka kwako na wewe sasa ndio una ushawishi kumbe fala mmja tuu 😬😬Anafurahia kuzindua miradi ya mtangulizi wake, kwanza amepoteza ushawishi kwa 100% maana inajulikana anapokea amri kutoka kwa msoga Gang
Taifa la malalamiko tuAchana nao mkuu hao Wana chuki binafsi ndio maana namkubali Samia wala hajali,mtukane,mnune ila yuko focused kwenye masuala anayoyaamini na anawachana ukweli..
Samia hayuko Ofisini kutafutwa kupendwa na hata Hawa wanaojisemesha humu hakuna wanachoweza kufanya.
Wataishia hivyo hivyo,baba analalamika na watoto atawarithisha kulalamika..Taifa la malalamiko tu
Tumekuwa
Asingezindua wangesema ana hujum mirad ya mtanguliz wake
Ova
Fala ni wewe na mama yakoNikajua anapokea amri kutoka kwako na wewe sasa ndio una ushawishi kumbe fala mmja tuu 😬😬
Unfortunately hakuna unachoweza kubadili utaishia kulalamika kama mtoto humu 😄😄 kubwa jinga wewe.Fala ni wewe na mama yako
Sawa mpika visheti nimekuelewaUnfortunately hakuna unachoweza kubadili utaishia kulalamika kama mtoto humu 😄😄 kubwa jinga wewe.
hakuna mfumo ambao wamewahi kusema utakuwa mbaya hata mmojaWewe ndio huna jipya kwa. Chuki zako ila Rais ana mapya kila siku.
Mwisho wa kubambikiana bili umefika ukomo 👇
View attachment 2162983
Haikuwa Mingi kama Ya Jpm Tena Ukilinganisha na Mtu alokaa MadarakaniHata Mwendazake alizindua miradi ya Jk
Yeye hana mradi hata mmojaAnafurahia kuzindua miradi ya mtangulizi wake, kwanza amepoteza ushawishi kwa 100% maana inajulikana anapokea amri kutoka kwa msoga Gang
Unataka akazindue Chato?Mama wa kuzindua Dar kila siku
Ungeyasema haya kipindi cha fascist jiwe ungeeleweka,lakini sasa hivi ni Wivu tuu...unaokusumbua.Hua nchi zingine wanaposema Rais wao yupo kwenye ziara flani, wanataja na chama anakotoka? achilia mbali wadhifa yake ndani ya chama.
Hii tabia ipo Tanzania tu, sometimes mnashusha sana hadhi ya Rais wa nchi kwa kutajataja Mambo ya uchama ndani yake.
Mamako je, anavaa nguo ya ndani akiwa msikitini?Hata mamake Yesu, Bi Maryam, sijawahi muona akikosa "mashuka" kichwani.
Kwa kukujuza tu, ile huitwa mitandio, ni spesho kwa kazi hiyo, siyo nyinyi wakuja mnafungasha kitenge doti nzima kichwani.
Mama'ko vipi, hajifuniki "mashuka" kichwani? Au mpaka akieda mazikoni na kanisani tu?
Yanini? Ina faida gani?Mamako je, anavaa nguo ya ndani akiwa msikitini?
Hakuna pesa aliyoitoa hapo, mpaka Mzee anakufa alishalipa yoteIlikamila kipindi cha mtangulizi au kipindi chake?
Mtanglizi wake ndio nani? Kama niMagufuli, hata yeye aliuanzisha huo mradi wa daraja kwa kuwa ujemzi tu ulianzia kipindi chake, sio waze lake wala hakuu initiate yeye, hata siku ya kuweka jiwe la msingi, balozi wa Korea alilisema hilo. Humjwi ni nani Master wa Miradi mikubwa yote Tanzania?
Umesahau Jangwani pia inajaa maji mpaka mvua iache!!!!Inchi nyingi zilizoendelea lazima ziwe na barabara zaidi ya moja ya kuingia mjini.
Hvi Mfano daraja la salender lingekuwa halipo,
Leo watu wangekwendaje mjini na jangwani kumejaa maji?
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Msimu wa kilimo hauna uzinduzi, ila kuuza mazao hapo sawa!Huku nanjilinji tunasubiri azindue msimu wa kilimo
Yote niliyoyaandika kipindi Cha fascist unayakumbuka? Kubali kuyasema makosa au mabaya nyakati zote regardless ni kiongozi yupi anatawala.Ungeyasema haya kipindi cha fascist jiwe ungeeleweka,lakini sasa hivi ni Wivu tuu...unaokusumbua.