Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hakuna mtakifanya kikakosa kujulikana dunia mzimaMkutano ni wa kitaifa. Kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 ni yetu sote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mtakifanya kikakosa kujulikana dunia mzimaMkutano ni wa kitaifa. Kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 ni yetu sote.
tuko pamoja na Rais wetu Mpendwa.
Wacha tu MkuuHilo Ndiyo Mlikuwa Mnasema Tutege Sikio
Kama umewahi kufanya kazi taasisi za kimataifaWalishaanza kutapanya pesa za msaada toka kwa Mabeberu kuhusu korona, Naona wameanzisha tamasha ili kuwahadaa mabeberu kuwa pesa walizopata za IMF wanachukua hatua
Danganya toto Jinga
Sasa mbona jambo la kitaifa na la kiserikali limegeuzwa la chama
Haya mambo yanachekesha sana na yanarudisha nyuma sana hamasa na maendeleo
Meza zimewekwa bendera ya CCM na baadhi ya watu wamevaa sare za ccm
Kuna watu wakisikia neno ccm wanazima TV na kuondoka, Hawaitaji porojo na uwongo wa ccm
Unapohimiza mambo ya kitaifa kama chanjo, Kampeni za malaria, Kampeni za watu kuwa matajiri, Au kampeni za elimu yakupasa kusimamia Sera za Taifa
Watu ambao hawana chama ni wengi kuliko wana ccm au Chadema
CCM walisema tuchape kazi Corona hakuna na waliwacheka Chadema waliohimiza kuwa corona ipo na itaondoka na watu ikiwemo viongozi
Leo ccm inapiga kampeni ya chanjo ni wajinga waliopindukia na watu wasiojitambua wanaweza Sikiliza ujinga huu
Nashauri viongozi waombe radhi wananchi kwa kuwajaza upepo kuwa korona hakuna na ni kama mafua ya ndege
Humprey Polepole bado anahubiri hakuna korona na amesimama na msimamo wa ccm
Sasa Je Pesa za IMF zimetumikaje?
Mtuambie pesa mlizopata za IMF mmeajiri madaktari wangapi kama mkataba unavyotaka
CCM wanahubiri mapambano ya corona, Pathetic
CCM mlikuwa wapi mmesubiri mpaka watu wameondoka, Mlihimiza Bunge liendeleee na waliotoka bungeni wakatwe pesa
Unajua project activities na budget ni kias gani hadi useme wanaoweza pesa ??tunatumia pesa vibaya
Muelewesheni kwanza Polepole na Gwajima halafu ndiyo mje huku kitaa..Suala hili ni la kitaifa ni kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19.
Ndio nauliza kweli tupo serious kabisa tunapambana nao ? Au tunafanya sarakasi ili kukidhi matakwa ya kupokea misaada ? Vyombo vya usafiri vinajaza nyomi kama kawaida, viwanja vya michezo, kkabu,bar...sioni mtu anayehangaika na UVIKO-19 kwa sasa
Mkutano wa kitaifa halafu wapo CCM watupu ???Mkutano ni wa kitaifa. Kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 ni yetu sote.
Ilikuwa imefungwa ?Mwacheni Mama afungue nchi nyie..
We need money mzee,tulia mama azichukue za UVIKO-19.Kwani bado tunapambana na UVIKO-19 ? Are we really serious ?
Yaani wanaongea maneno mengi hela zenyewe za kukopa! Yaani hawa hawana maana!Wacha tu Mkuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo 10 Oktoba 2021.
Fuatilia matangazo hapa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo 10 Oktoba 2021.
Fuatilia matangazo hapa