#COVID19 Rais Samia azindua Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Jijini Dodoma


Mkuu. Chama ndo kimekabidhiwa madaraka. So Sijui Shida yako nini.
 
Naona Mpoto anapokea mahela tu hapa et tusisubiri Chanjo
Hamasa ya chanjo iko pale pale,hatua hizi ndizo zimetuletea Neema ya mapesa,watalii wameanza kurudi na wawekezaji wanamiminika kwa sababu usalama wa Afya zao sasa uko guaranteed.
 
Mama anaupiga mwingi achana na hao wapingaji was Kila kitu na wale sukuma gang [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]litakufa jitu kwa maendeleo ya nchi yake
 
Ndio Mkuu naona zitatosha wasiwasi wangu mkubwa ulikuwa kwenye madarasa 15,000. Ila mahesabu naona yamekubali maana Kwa wastani wa Darasa Moja wa Tshs 20,000,000/= itakuwa jumla Tshs 300,000,000,000/=

Wasimamizi wakasimamie Vyema.
 
Ndio Mkuu naona zitatosha wasiwasi wangu mkubwa ulikuwa kwenye madarasa 15,000. Ila mahesabu naona yamekubali maana Kwa wastani wa Darasa Moja wa Tshs 20,000,000/= itakuwa jumla Tshs 300,000,000,000/=

Wasimamizi wakasimamie Vyema.
Tena sio 15,000 ni 18,000 kuna madarasa 3,000 ya shule shikizi pia.

Na madarasa mengi ni ya kukamilisha maboma ambayo wananchi waliyaanzisha.

Lakini pia serikali ni Janja Janja humo pia kuna fedha za wafadhili kama Sida via P4R ,Sweden ilitoa bil.196 huwa ni maalum kwa ajili ya madarasa mapya,mabweni,ofisi,nyumba za walimu na mabwalo ya shule.
 
Hakuna j
Hakuna jipya hapo tunataka katiba mpya
 
Imebaki miezi 3 shule zifunguliwe, je, hayo madarasa yanaanza kujengwa lini sasa?


Ilikuwa ni mwanzoni mwa mwaka huu (2021), serikali ilitangaza kwamba, tumepata mkopo kutoka benki ya dunia kwa ajili ya kujenga shule mpya 1000 nchi nzima. Je, huko ulipo zimeishajengwa?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huo ni uongo,madarasa hata wiki 2 yanakamilika ,miezi yote hiyo? Shule hadi zije kufungua katikati ya januari ni leo?
 
Bill Gates aliwahi kuzishauri nchi za AFRIKA NA ZINAZOENDELEA kuwekeza nguvu zao katika ELIMU YA KATI(vyuo vya ufundi)......

Na hapa Kuna TANBIHI.....

Inakuwaje TCU inatoa ITHIBATI(accreditations) kwa vyuo vya vikuu vinavyoota kama UYOGA?!!!

Hakika Serikali sikivu imeamua kumaliza VYUO VYA VETA 32.......πŸ’ͺπŸ‘πŸ‘πŸ‘

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA
 
Mkuu tuwe na nidhamu kwa viongozi wetu. Wanajitoa na kufanya kazi bila kuchoka ili taifa liwe na maendeleo endelevu na leo Rais Samia anazindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19.
Kupanda ndege na kuzurura nje ya nchi ndio kujitoa? Unajua wakulima wangapi wanajitoa kukesha shambani kufanya kazi bila kuchoka tena bila pembejeo bora za kilimo alafu wakituma ada za watoto wanakatwa kodi kubwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…