The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Purchasing power haipimwi kwa kutumia traditional method tuu bali kwa ku account factors zinginezo.Sasa purchasing power ya mwananchi wa Tanzania ni sawa na Marekani,yani kipato cha mtu unskilled labour kipo juu sana kuliko hata hapa bongo kwa upande wa skilled ..kwel kunasehemu tumekosea kama nchi.Magufuri lala salama baba..
Seriously?Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Wewe ulitaka justification ya kupanda Kwa mafuta iwe nini?Huyu Rais huyu nahisi kuna kitu hakiko sawa....
So what?...yaani hii ndio justification..aisee
Ok yeye anasaidiaje katika hili?....
Kuwa kiongozi sio lelemama....
Hatari sana
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Ulitaka alinganishe na wapi?Huyu mama kweli hamnazo yaani analinganisha bei na marekani
Tuko pamoja braza tuko pamoja.Sio siri
Huyo MAMA namchukia sana
Kila wakati tunakosea make hata kwa Magufuli tulisema tumekosea,sijui ni lini tutapatiaKuna mahali tumekosea kama taifa!
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. π
Huo uchumi unaouzungumzia pia ni ghali kuliko uchumi wa Bongo
Kama kiongozi anakosa njia Bora za kutatua changamoto zinazowakabili waongozwa, Pana haja Gani kukalia kiti!!! Mtu yeyote akikuambia jambo kipuuzi na akijua ya kuwa unafahamu upuuzi anaokwambia, ni ANAKUDHARAU. Mwl Nyerere said.Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Umbali kutoka nchi zinazozalisha mafuta kuja Tanzania na kwenda America ukoje ?
Umeshatoa jibu, gharama za maisha US ni kubwa kuliko Tzn kwa hiyo hata walipwe pesa mingi kiasi gani zitakuwa eroded na ughali wa maisha so Rais yuko sawa kabisa..Hajui asemalo. Kila nchi ina gharama zake za maisha. Kima cha chini cha mshahara US ni zaidi ya Tshs 5,000,000 . Kwa tafisili hiyo siyo ajabu chapati kuuza 10,000 huko Marekani kwa sababu gharama za maisha zipo juu na kipato cha ndani kipo juu
Utatuzi gani unaoutaka wewe? Kwani kuendesha Nchi ni ishu ya mafuta pekee? Hilo la mafuta lipo Tanzania tuu?Kama kiongozi anakosa njia Bora za kutatua changamoto zinazowakabili waongozwa, Pana haja Gani kukalia kiti!!! Mtu yeyote akikuambia jambo kipuuzi na akijua ya kuwa unafahamu upuuzi anaokwambia, ni ANAKUDHARAU. Mwl Nyerere said.
Kazi tunayo ,tena Kazi kubwaRais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Gharama ukifananisha na nani, inawezekana uchumi wao ndio unaruhusu vile. Yawezekana millioni 2 ninayoipata mimi kwa mwezi mzima hiyo ni pesa ya mfanyakazi wa US kwa masaa 12 aliyofanya kazi kwa siku.Huyu mama huyu !!!! ??????
Nimeishi UK, kule kila kitu gharama nguo, viatu kodi ya pango n.k. , Ila kipato changu nilichokuwa napata kule kwa wiki kwa kazi hio huku hata kwa mwaka huenda nisingepata..., (yaani hapo naongelea unskilled labor bado sijaongelea professional jobs)
Hivi haya anayasema kama siasa, kukosa uelewa au anatudharau (insulting our intelligence)
Sasa Ulitaka Pipi Marekani Iuzwe Shilingi Hamsini?Msisahau hata kama kipato cha USA kipo juu pia ni wazalishaji ilipaswa hii bidhaa iwe chini zaidi kwa USA compared to Tanzania.
Au sababu kipato kipo juu ndo mtu anunue pipi ya TZS 50 kwa TZS 50,000?
Mnaopenda cheap life na kudekezwa Kazi mnayo tena sio ndogo..
Bora Usanii wa Magufuli una maana Impact Yake kwa jamii kubwa ya wananchi ilionekana Brother. Sasa hivi mambo shagala bagalatu.Hapo ndo mnakosea kumleta Magufuli wakati na yeye alikuwa Msanii