Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Tukiangalia kwa google.. Marekan mafuta litre 1.. Ni chini ya dollar moja.... Sasa hapo nashindwa kuelewa Mama alikuwa marekani ya wapi...??


Enewei, ngoja niendelee kuangalia Viking tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwakweli Rais kwenye kuchambua mambo ana uwezo mdogo sana bora angekuwa anaandikiwa kwanza maswali ajiandae kwakusaidiwa......

Kwa hiyo Tido nae akaona amuache tuu adanganye? Hahahahahahhaha
 
Umeuliza ulinganishaji wa bei. Akili za akina mwigulu hizi ztawatesa sana, mnaropoka tu kama vile maisha mmeshayamaliza hata kwenye upuuzi ninyi ni kukubali tu.
Zitakutesa wewe kwani umeona mimi nalalamika hapa? Vuka mpaka kanunue huko unamlilia nani sasa.
 
Marekani wana uchumi mkubwa kwakua mafuta ndio bidhaa ambayo ni bei rahisi kabisa na wamefanikiwa kuifanya ibakie hivyo kwa muda mrefu.

Marekani akiona kaishiwa mafuta yupo tayari kuingia vitani popote mradi apate mafuta ya kumtosheleza.

Ana reserves za mafuta kwa miaka kadhaa.

Ana maeneo ya kuchimba mafuta ambayo hajawahi kuyagusa kabisa.

Mafuta ndio yanayoendesha uchumi wa Marekani na ndio kama damu kwenye mwili wa mwanadamu.
 
Basi wote tuhamie marekani kwenye mishahara minono ambayo inakidhi bei ya mafuta.
 
Huyu mama ashauriwe ili awe ananyamaza. Vinginevyo 2025 hatoamini macho yake
Wewe na mimi na wananchi wengine tunapiga kura zakuchagua raisi+wabunge
Sasa hizo kura anazihesabu nani kama siyo kingai na wakurugenziccm[emoji849][emoji849]
Toa hiyo kauli ya hawataamini macho yao ila sema hatutaamini macho yetu baada ya Samia kurudi madarakani
 
Ujinga ni mzigo mbaya sana.

Kasema bei ya mafuta Marekani ni kiasi gani?

Kalinganisha kwa vipimo vipi, lita na galloni; halafu kaweka pesa ya madafu kwa uwiano na pesa halisi?
 
Wastani wa kipato cha Mtanzania mmoja kwa mwezi 500K na litre ya mafuta ni Tzs 3,184 wakati wastani wa kipato cha Mmarekani wa hali ya chini ni 11M kwa mwezi wakati gallon ya mafuta ambayo ni sawa na litre 3.4 ni USD 5.

Sasa hapo nani mwenye nafuu?
Galoni ipi hiyo yenye lita 3.4, mkuu Extrovert'!
 
Dr. Omar Ali Juma aliyekuwa makamo wa Rais wa JMT miaka ile yeye alisema maisha ya ulaya na Tanzania ni sawa tu hakuna tofauti, watu wasihangaike kwenda ulaya
 
For comparison, the average price of gasoline in the world for this period is 1.86 U.S. Dollar.
...
USA Gasoline prices, 02-May-2022.

1 Litre USD 1.210
1 Gallon 4.580

Samia kwenye hili la bei ya Mafuta ya gari US kuwa aghali kuliko Tanzania amedanganya.

 
Zitakutesa wewe kwani umeona mimi nalalamika hapa? Vuka mpaka kanunue huko unamlilia nani sasa.
Nyie wakijipendekeza hata kwa bovu ndo mnafanya nchi iendeshwe bila weledi. Rais anayetuambia, anatuambia ili iweje? Tujue upandaji wa bei bado kuna unafuu kulinganisha na nchi zingine? Mnatetea tu huku unafiki ukiwajaa vinywani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…