Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Naomba kufahamishwa baada ya kupita daraja la Tanzanite, Kijazi interchange hivi mama mpaka sasa ni kitu gani tangible anajivunia ame accomplish maana naona vyote vya maana amejenga hayati JPM siku hizi naona Tarura wanachezea mfumo wa kukusanya parking fees naamini angekuwepo mwamba wa kaskazini JPM tusingesikia hata Panya road wala bei kupanda hovyo kisa vita ya Ukraine, shipping cost etc
 
Mheshimiwa anafanya mpinzani wake aonekane shujaa na mwenye maono, ila kiukweli tunapoelekea tunagundua kwamba tumeruka "nya" tukatua kwenye "nya" kuna tatizo mahali.
 
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.

Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.

Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.

Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.

Mama kwingine credit zinapungua ujue
 
Huyu bimkubwa mizinguo sana sasa uchumi wetu uko sawa na marekeani?
 
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.

Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.

Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.

Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119].
 
FB_IMG_1651672197828.jpg
 
Watu wengine mnavyo viongea hata hamuelewi,msomege someone hata historia ya vyama vingi,kama Nyerere angefuata utaratibu wa sanduku la kura leo vyama vingi visingekuwepo, aliye force vyama vingi ni Nyerere.
Nyerere alifosi vyama vingi ila vinakuwa kama kivuli Tu....alifanya hivo ili apate misaada ya mabeberu baada ya kuumia vita vya uganda
 
Wastani wa kipato cha Mtanzania mmoja kwa mwezi 500K na litre ya mafuta ni Tzs 3,184 wakati wastani wa kipato cha Mmarekani wa hali ya chini ni 11M kwa mwezi wakati gallon ya mafuta ambayo ni sawa na litre 3.4 ni USD 5.

Sasa hapo nani mwenye nafuu?
Muacheni mama anafungua nchi vizuri
 
Ndio maana nakuita takataka
Wewe ni Nani? Sukuma gang?

Fuvu lako limebeba tope badala ya ubongo. Unawezaje kumlaumu Samia kwa kupanda bei ya mafuta? Kwani bei za mafuta kupanda ni sera ya Samia? Tuneieni akili basi
 
Huna uwezo wa kumtoa mama samia madarakani .....

Hata CCM wawekee kopo harafu chadema waweke Tundu lisu basi kopo linachaguliwa na kuwa raisi ...wakumtoa madarakani samia ni CCM yenyewe na anaingia CCM Tena [emoji23]
Sawa. Naunga mkono hoja
 
Gharama ya gasoline Marekani ni kubwa kuliko bongo??? [emoji23][emoji23][emoji23]

Au kashindwa kuconvert gallon moja ni sawa na litre ngapi...
Maajabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tanzania Vs Marekani sasa[emoji28][emoji28][emoji28]

Tanzania ni next level kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom