KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
EeeeHeee!Itakuwa ya Sundrop mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EeeeHeee!Itakuwa ya Sundrop mkuu
You're a 'skunk', nothing good can be expected out of thatAcha ufala ntaanza kupuuza, statement uliyoikoti hujaona nazungumzia gharama za chakula na malazi?
Mama kwingine credit zinapungua ujueRais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Kuna Wakati Ninamlaumu Mzee Jpm kumchagua huyu MamaHuyu Rais tulipigwa ndugu zangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119].Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Kumbe Viongozi wetu wanaangalia Mataifa makubwa alafu wanatupimia uwezo sisi wananchi !!!!!
Kweli mwenye kushiba hamkumbuki mwenye njaa Magufuli lala salama baba. Wewe ulikua Mzalendo wa kweli.
Watz Mbinguni hamuendiHuyu Rais tulipigwa ndugu zangu
Nyerere alifosi vyama vingi ila vinakuwa kama kivuli Tu....alifanya hivo ili apate misaada ya mabeberu baada ya kuumia vita vya ugandaWatu wengine mnavyo viongea hata hamuelewi,msomege someone hata historia ya vyama vingi,kama Nyerere angefuata utaratibu wa sanduku la kura leo vyama vingi visingekuwepo, aliye force vyama vingi ni Nyerere.
Muacheni mama anafungua nchi vizuriWastani wa kipato cha Mtanzania mmoja kwa mwezi 500K na litre ya mafuta ni Tzs 3,184 wakati wastani wa kipato cha Mmarekani wa hali ya chini ni 11M kwa mwezi wakati gallon ya mafuta ambayo ni sawa na litre 3.4 ni USD 5.
Sasa hapo nani mwenye nafuu?
Wewe ni Nani? Sukuma gang?Ndio maana nakuita takataka
Sawa. Naunga mkono hojaHuna uwezo wa kumtoa mama samia madarakani .....
Hata CCM wawekee kopo harafu chadema waweke Tundu lisu basi kopo linachaguliwa na kuwa raisi ...wakumtoa madarakani samia ni CCM yenyewe na anaingia CCM Tena [emoji23]
Maajabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Gharama ya gasoline Marekani ni kubwa kuliko bongo??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Au kashindwa kuconvert gallon moja ni sawa na litre ngapi...