Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Huwezi kupewa, tatizo ni group of haters.

Mama ana exposure ya kutosha, amepiga shule UK halafu kuna wachamba wima wanaomchukulia powa kuzani hana uelewa wa mambo ya first world.
Nani asiye jua kuwa alikuwa house girl wa kikweti
 
Alikua anasema bei ya mafuta hata Marekani ni kubwa na ni kubwa kuliko Tanzania
Kwa list ya May 2 2022, nchi inayoongoza kwa unafuu wa bei ya petroli ni Venezuela, Marekani ni ya 62, Tanzania ni ya 90.

Hivyo, kwenye petroli, Marekani ina bei rahisi kuliko Tanzania.

Samia inabidi afanye homework yake kabla ya kuropoka.
 
Hivi si tuna Gas 55 trillion cubic meters, iko wapi yote? Ulaya wanatafuta mbadala wa kudumu. Wako tayari kumwaga pesa ili wapate usalama wa gas.
 
Hivi si tuna Gas 55 trillion cubic meters, iko wapi yote? Ulaya wanatafuta mbadala wa kudumu. Wako tayari kumwaga pesa ili wapate usalama wa gas.
Aliekuambia tunayo ni nani? Hiyo gesi inamilukiwa na wenyewe tuliowapa bure kwa kupitisha mikataba kwa hati ya dharura
 
Kwa zile vurugu za mwenda zake bado Samia ataendelea kuwa bora kuliko mtangulizi wake.Miaka sita ya hayati kulikua na mambo ya hovyohovyo sana,tuliumizwa sana huku kundi la wafuasi wachache wa mwendazake wakiifaidi sana hii nchi.
 
Kuongozwa na vihiyo ni kazi kweli. Ku-comprehend vitu vidogo kabisa inakuwa ni issue kubwa mno kwao.
Mshahara wa kima cha chini kwa Mfanyakazi wa Marekani nadhani ni mara ishirini kwa Tanzania.

Ni mara 300
 
FB_IMG_1651681656109.jpg
 
Bado anaupiga mwingi au anabutua butua bora liende?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Dah leo ndio nimechoka kabisa...

Kuna shida mahali walahi..
 
Kasema yeye aibu naona mimi huku!
Dah!tumegongwa na kitu chenye ncha kali walahi.
 
REASONING ABILITY yake ndo inaniacha na maswali, juzi tu hapa alisema hata MAREKANI umeme unakatika kwahiyo Wadanganyika tusimsumbe Waziri Makamba...
Juzi hapa alisema mafuta yatapanda na kila kitu kitapanda...
Mfumuko wa bei ndio huo,sijui ataudhibiti vipi...
 
Mlitegemea nini kutoka kwa utopolo wa pale magogoni!? Hamna kitu kichwani mule.
 
Back
Top Bottom