sawa boss ngoja niendelee kujifunza michango ya wengine jinsi watu wanavyoelewa hizo crypto currencyNavyojua Mimi hawa huwa wajanja wajanja tu sasa hata kama umesoma finance hukutani kabisa na hayo mambo sasa ndo hatari ilipo
Kwanini Tanzania hatupokei pesa kwanjia ya PayPal kama Kenya na nchi zingine?Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.
Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano Crypto-Currency na Bitcoin.
Wahenga wanasema asipochafuka atajifunzaje,hivyo nasi tusiogope fursa,tujichanganye tujionee wenyewe Bila kuambiwa,tahadhari ni mtu mwenyewe.Mtu anakwambia usifanye hivi sababu wengine hawajafanya. Kwani ni kinyesi hicho kuwa kila binadamu lazima anye? Wajuzi wa mambo nchini wakae waangalie tuone tunajiingiza vipi kwenye ulimwengu wa kisasa kwa tahadhari.
Kabisa. Nchi sasa inahitaji Fursa kwa watu wake.Wahenga wanasema asipochafuka atajifunzaje,hivyo nasi tusiogope fursa,tujichanganye tujionee wenyewe Bila kuambiwa,tahadhari ni mtu mwenyewe.
Ushawahi kumuona?Mwizi kaalikwa bitcoin italeta shida satosh makamoto fala sn ule mzee
Kwani kulikuwa na shida gani kwa PayPal hapo kabla?Hapo sawa na tuanze kupata refund kwa kutumia PayPal
Hata mie nataka kujua. Mbona kufungua PayPal account simple tu. Au ku-link PayPal na Bank account ndio tatizo lilipo? Nitafurahi akitoa ufafanuzi.Kwani kulikuwa na shida gani kwa PayPal hapo kabla?
Hata cku moja jamaa ashaingiq chakq muda mrefu CIA na FBI nahic wana agenda nae ya siriUshawahi kumuona?
Crpto inatumiwa na matapeli kufanya uovu kutokana na mazingira yake kutokurudi nyuma na kutokuwa na central bank ila currency mzuri sana kwenye payment option fee ni ndogo sana iko securedCryptocurrencies imekuwa ina husishwa na,
1)fraud
2) money laundering
3)Bad for environment.
4)….list goes on
It get to a point that you knowSorry not Sorry..Jay Z X Nas..Dj Khaled's project.
Ni unyaje sana humo ndani.
Maana yake sheria za fedha zilikuwa kikwazoKwanini Tanzania hatupokei pesa kwanjia ya PayPal kama Kenya na nchi zingine?
Asante kwa ufafanuzi,je uwekezaji salama kwa hii criptocurrency ni wa namna gani.Crpto inatumiwa na matapeli kufanya uovu kutokana na mazingira yake kutokurudi nyuma na kutokuwa na central bank ila currency mzuri sana kwenye payment option fee ni ndogo sana iko secured
Mtu akikuambia njoo uwekeze kwakutumia Hii currency kimbia mwisho wa picha lazima utatapeliwa tu
Nampongeza mama kwakujua hili maana ccm wako nyuma sana watakua wana angaika google kutafuta maana utafikiri wako kwenye sayari tofauti na Dunia
Mwaka 2012 nilipigwa 200,000 nikajifunza vizuri nakuijua vizuri Bitcoin leo ni mwali mzuri sana wa BitcoinWahenga wanasema asipochafuka atajifunzaje,hivyo nasi tusiogope fursa,tujichanganye tujionee wenyewe Bila kuambiwa,tahadhari ni mtu mwenyewe.
Ni nini chakufanya na nini sii chakufanya,pale unapoamua kuwekeza.Mwaka 2012 nilipigwa 200,000 nikajifunza vizuri nakuijua vizuri Bitcoin leo ni mwali mzuri sana wa Bitcoin
Tupo somo katika hilo,kwanini unafananisha na Qnet,ningekuwa na hofu zaidi kama ungefananisha na betting.Bitcoin kama QNET tu, hamna kitu cha maana huko.
Wapo waliopata hiyo inflationHayo anayotaka Mama yataleta inflation ya 230%
Kwenye kuwekeza siwezi mshauri mtu ujalibu mwisho wapicha utatapeliwa tu BTC ni mzuri kwa malipo unanunua online kwakutumia simu kisha unatuma unafanya malipo nje ya nchi unaweza badala ya kwenda bank na kufanya TT utapoteza muda mwingi pia pesa inachelewa sana kufika ila btc ni sawa na PayPal au email ukimtumia dakika kaisha pata fee ni kidogo sana.Ni nini chakufanya na nini sii chakufanya,pale unapoamua kuwekeza.