Chadema kina wanachama wengi sana,hadi wengine mashuleni na vyuoni.===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Nani anayeogopa labda? Kelele tu za kukosa hoja hizo.Mkiulizwa kuwa kura zinaibiwa mkiambiwa wakati zinaibiwa wakala wenu ndani ya chumba cha kura alikuwa kafa au? Na mkiambiwa onyesheni kituo mlichoibiwa mtoa macho tuWanachama wote hawo na bado mnaogopa uchaguzi huru na haki
Wapiga kura kwa Sasa nchini ni million 33 so ukitoa 13 unapata million 20 ambao ni wapinzani waccm===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Sasa kama ni wengi kiasi hicho kwanini wanakataa Tume huru ya uchaguzi?.===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Ukweli ni upi? Kwamba watu wanatekwq na vyombo vya ulinzi na usalama vinajuq? ( source, press ya Gwajima juzi)Uongo mkubwa huu
Mjumbe wa nyumba kumi ni kiongozi wa CCM?Kila kijiji na kila mtaa Tanzania nzima kuna ofisi ya CCM. Nenda kaulize ofisini kwao au kwa mjumbe yeyote wa nyumba kumi atakuambia
Sio kweli kupata kadi ya CCM ni lazima uwe na kadi ya kupiga kuraMimi nilipewa kwa NIDA. Zuzu wewe kumbe hujui chochote
Ndio kwani hujui ? Mjumbe wa nyumba kumi Sio kiongozi wa serikali ni wa Chama cha MapinduziMjumbe wa nyumba kumi ni kiongozi wa CCM?
Milioni 7 mbona nyingi kwa maza.Akisimama na Lisu uchaguzi ukiwa huru akipata kura hata mikioni 3 ajue watu wamepigia chama kwa ushabiki na sio yeye.Wapiga kura kwa Sasa nchini ni million 33 so ukitoa 13 unapata million 20 ambao ni wapinzani waccm
Itisha uchaguzihuru na haki ukipata hata kura million 7 navua nguo natembea mpaka dodoma
===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Basi kuna utapeli niliwahi kufanyiwa na serikali ya mtaa kunitaka kupewa barua ya mjumbe wa nyumba kumi ili kusainiwa na kupigiwa muhuri wa serikali ya mtaa document yangu.Ndio kwani hujui ? Mjumbe wa nyumba kumi Sio kiongozi wa serikali ni wa Chama cha Mapinduzi
hizo ni takwimu za uongo kuandaa umma kwa wizi wa kura. Una wanachama wote hao halafu unaogopa mabadiliko ya sheria za uchaguzi??? Mpaka mapuri yumo ndani???Kila kijiji na kila mtaa Tanzania nzima kuna ofisi ya CCM. Nenda kaulize ofisini kwao au kwa mjumbe yeyote wa nyumb
a kumi
Unaandika huku nafsi yako inakusuta,uhuni mnaofanya kwenye uchaguzi unajulikana na kila mtu.Nani anayeogopa labda? Kelele tu za kukosa hoja hizo.Mkiulizwa kuwa kura zinaibiwa mkiambiwa wakati zinaibiwa wakala wenu ndani ya chumba cha kura alikuwa kafa au? Na mkiambiwa onyesheni kituo mlichoibiwa mtoa macho tu
Porojo za majukwaani na mitandaoni tu hizo
Sasa kwa nini hawataki uchaguzi huru===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Kama kweli wekeni Tume Huru basi.Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,