Rais Samia: CCM inawachama milioni 13 yoyote anayefikiria kukipasua chama hiki ajifikirie mara mbili mbili

Uongo mkubwa huu
Uongo vipi, mwenzako katumia comon sens kujenga takwimu.
Mil. 60 ya population ya waTz ukitoa mil. 13 ya wasisiem inabakia ngapi?

Halafu katiya hao 13 hawalazimishwi kwenye sanduku la kura kupigia Ccm.
 
Hata Gwajima na Mpina ni wana CCM, tena M NEC na wako wengi wenye mtizamo wa hawa.
 
Hizi kadi walikua wakipita kwenye vijiwe vya bodaboda vijiwe vya mama ntilie masokoni na sehemu mbalimbali wanazigawa kama njugu

Danganya toto yao ilikua ukiwa na kadi kuna mkopo utapewa usio na riba na kurejesha ni kidogo kidogo sana.
 
Nimemsikia akisema karibuni kwenye chama ca maendeleo na demokrasia cyo mapinduzi tena
 
kwa takwimu hizi mpishi wa jikoni amefanya kazi yake vizuri hana deni
 
Kadi za CCM zilikuwa zinatolewa kwa wenye kadi za kupiga kura tu muongo wewe

Hao milioni 13 ni wenye kadi za kupiga kura.Haiwezekani ukawa na kadi ya CCM halafu huna kadi ya kupiga kura
In short, mtu mmoja anaweza kuwa na KADI hata 100 za CCM.
 
Wow!
Kumbe ni Watanzania 20% ambao ni wanachama wa hiki chama chakavu.
Kwa hiyo 80% ya Watanzania wako vyama vingine au hawana vyama.
Hi habari njema sana
 
Wajinga wengi wa nchi hii wanaamini kuwa tu na kadi ya CCM ni ujiko, fursa na kinga dhidi ya maovu..kumbe chama kina wenyewe!
 
Kwani unafikiri Kuna mtu atakipasuq basi, no ,ni muda tu umefika maana hakuna chenye mwanzo kisichokua na mwisho ni Mungu peke yake
 
Kipindi Halima Mdee anakamata kura Feki kawe ulikua na Umri mdogo sana
 
Fanyeni uchaguzi uwe huru na haki Sasa ndotuamini huo ujinga mnaouimba!!
Wapi wenyekadi ili tuu mamboyao yaende lkn wanawachukia maccm hamna mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…