Si kweli, binafsi Nina kadi ya CCM Kwa vile nalinda nafasi ya kazi Kwa kiti nilichokalia.===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Wenye chama ni hao milioni 13Wajinga wengi wa nchi hii wanaamini kuwa tu na kadi ya CCM ni ujiko, fursa na kinga dhidi ya maovu..kumbe chama kina wenyewe!
Kila mtu kujiunga na chama huangalia atanufaika niniAsilimia kubwa ya hiyo idadi wapo kwa ajili ya kupata kinga kwenye mambo yao si kwa imani kwa chama hicho.
Achana kabisa na Kikwete. Usibabaike kabisa na tabasamu lake. Yeye kwa sasahivi ndio alitakiwa awe baba wa taifa. Yeye ndie aliyevunja katiba yaa CCM kumpitisha Samia kuwa mgombea pekee ktk mkutano wenye ajenda tofauti kabisa. Kikwete na Samia wanalindiana maslahiMimi ni mmoja wao lakini sikubaliani na yeye kukataa maboresho ya sheria za uchaguzi. Hao wanachama milioni 13 sio wote wana hamasa kutokana na mambo yanayoendelea!. Akina Kikwete walijua siasa muombeni ushauri!. Kikwete alikuwa akiona kuna Agenda upinzani unaizungumzia na unapata uungwaji mkono kutoka kwa raia basi ghafla CCM inabadili gia angani na kufanya Agenda hiyo kuwa yake. Msishupaze shingo fanyeni mabadiliko maana upepo wa mabadiliko unavuma duniani kote.
Artificial intelligence hiyo .Fake
Chama kinajiita kikubwa lakini hakina hata taasisi ya utafiti na takwimu, kila siku kuwaomba REDET na UDSM kuwafanyia tafiti, ndiyo wataweza kufanya analysis.Chama kina wanachama wote hao halafu kinaogopa UCHAGUZI HURU, WA HAKI NA WAKUAMINIKA?
Huyu Samia ni DR . Wa nn sasa! Hawezi kufanya analysis?
Usidhani wote waliomo humo ni CCM. Kuna wenye kadi mbili mbili pia. Na sio wote waliopo humo wananufaika wengi wanafuata mkumbo tu.Kila mtu kujiunga na chama huangalia atanufaika nini
Pole wewe kama huna lengo la kunufaika
Ai tena?Artificial intelligence hiyo .Fake
Mbona hawakupeleka kesi mahakamani?
Wanachama wa CCM hawazidi elfu 10, wengine ni wasindikizaji wa wanachama, kuna majangili hayazidi elfu 10 ndiyo yanakula nchi===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Watu wamejiunga CCM kutafuta fursa na siyo kwamba wanaipenda CCM, wanachama halali hawazidi elfu 10 ni wale wanufaika wa mfumoKama mna wanachama wote hao mbona mnaiba kura kupitia watumishi wa umma? Mnawachonganisha na Mungu wao mwenye haki kwenye kuiba kura basi mjiamini wekeni mazingira ya haki kwenye uchaguzi.
Hapana hiyo ni kweliNa yeye kaukubali kutapeliwa
Mjumbe wa nyumba 10 ( siku hizi ni nyumba 50 )/,balozi wa shina ni km kiongozi wa shina ktk chama ..na anamchagua mbunge ktk kura zao za maoniMjumbe wa nyumba kumi ni kiongozi wa CCM?
Sawa sawaWatu wamejiunga CCM kutafuta fursa na siyo kwamba wanaipenda CCM, wanachama halali hawazidi elfu 10 ni wale wanufaika wa mfumo
Mfano mimi nina kadi ya CCM ya kielektoniki. Unafikiri nami ni mwanachama wa kupikwa?CCM na takwimu za kupika ni kama uji na mgonjwa. Tushawazoea
Sawa Mimi mwenyewe mwanachama wa CCM ila sikukubali yaani hufai kuwa kiongozi wa nchi.===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Hizi namba mnaaminishwa ili kura zikiibiwa iwe rahisi nyinyi kuambiwa mnaona, tuna wanachama milioni 13, tutakosaje kura milioni 7. Muwe makini.===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Kwahiyo milioni 13 hawawezi kugawanyika🤣🤣🤣🤣🤣===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Unaota wajumbe wa nyumba kumi ni CCM wako mamilioni nchi.nzimaWanachama wa CCM hawazidi elfu 10, wengine ni wasindikizaji wa wanachama, kuna majangili hayazidi elfu 10 ndiyo yanakula nchi