Tupe ushahidi tuaminiMbowe sio gaidi
Mcheki apoKavaa suruali au?
Ugaidi sio tatizo jipya,labda kama Definition yake ya Ugaidi ni Wapinzanitatizo jipya
KwakeUgaidi umekuwa TATIZO JIPYA? 🙄
Kwani Samia ndio Mahakama au hakimu? Unalinganishaje Uislam wa Samia na Kesi ya Mbowe ambayo huyo unayemlalamikia hana mamlaka nayo?Haya wale wapiga Zumari wasema hili nalo kapitiwa! Huyu sio Mwislam ila kajificha kwenye kivuli cha Uislam. Ninavyowajua Waislam ni wapenda haki sana and I admire hii spirit yao ila hawa akina Mahita na Kingai na Hang'hire
kwa sasa ndio Gaidi namba moja Tanzania.Mbowe sio gaidi
Ile Ngo ilishawataja.Kwani Samia ndio Mahakama au hakimu? Unalinganishaje Uislam wa Samia na Kesi ya Mbowe ambayo huyo unayemlalamikia hana mamlaka nayo?
Kumbe maisha bila hijabu yanawezekana. Hongera sana Madam President kwa muonekano wa vazi la kijeshi.Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo
Ameeleza, "Kwa hulka ya Ugaidi, Mtu yeyote bila kujali Rangi, Dini, Umri, Itikadi, Kipato au Uraia anaweza kuwa mhanga wa Ugaidi. Mifano ipo nanyi mnaijua"
Rais ameongeza kuwa, "Mapambano dhidi ya tishio la Ugaidi si suala la Vyombo vya Ulinzi na Usalama peke yenu, bali linahitaji ushirikiano kutoka Taasisi mbalimbali ikiwemo Vyombo vya Habari na Asasi za Kiraia"
View attachment 2011253