pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Mwanzoni wapinzani waliambiwa wao sio raia
Baade wakafunguliwa kese za wahujumu uchumi na kutakatisha pesa!
Kwa sasa wameanza kuwaita wapinzani MAGAIDI