Rais Samia: Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi)

Mbowe sio Gaid
 
Huo ugaidi anaotajataja ipo siku Ugaidi wenyewe halisi utakuja ndio ataelewa
 
Ugaidi maana yake nini labda!
Marekani na nguvu zao zote wamepambana na ugaidi miaka zaidi ya 20 na bado unawapa changamoto.
Sidhani kama ni tatizo jipya kwa dunia sasa swala la ugaidi,labda hapa kwetu.

Hapa kwetu kusema mbowe ni gaidi ni kama vile tunajidanganya, kama huo ugaidi ni huu anayotuhumiwa nao mbowe ni ugaidi mwepesi sana kiasi cha wakina Marekani na wenzie wangekua wameyshida muda mrefu sana.
Hata kama ugaidi unaweza kuwa kwa mtu yoyote lakini sio unaotajikana kwa wakina mbowe, sana sana labda ugaidi wa wa hamza ambao nao hauingii katika ugaidi.

Madame president bado tunaimani kubwa nawe, bado una muda wa kurekebisha makosa, hakuna asiye kuwa na kua na kosa iwe kwa kunena kuwaza au kutenda.
 
Mpaka katoa USHUNGI ili naye aonekane ni Mjeshi.

Kweli bado mambo yanaongozwa Kimagufuligufuli ..... na itachukua muda mrefu Umagufuli kuondoka Tanzania. Maana kuna watu wanajaribu kutumia hiyo advantage ya huo mfumo!!
wacheni akaaandamizee.
maana hii nchi ilichezewa sana na ili liwa sana na wajanja wachache.
Rasilimali zetu ziliishia mifukoni mwa wajanja.
wizi na ubadhirifu wa fedha za Serikali ulishamiri kila kona.
Rais Samia anaonekana atanyoosha Hii Nchi vilivyo.
kazi iendeleee.........
 
Mpaka hapa "mbowe akichomoka hii kesi Basi akachinje ng'ombe mbuzi na kondoo mlimani kutoa shukrani .."


Kwa hizo kauli za raisi mbowe hawezi kuchomoka kwa namna yeyote ,awe gaidi aisiwe gaidi ....mbowe lazima atanyea jela ......

Pole Sana mbowe ....!!!!!
 
Nadhani anakazia kesi.
 
subiri mumeo abambikwe kesi ndiyo utapata akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…