Rais Samia: Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi)

Jamani huyu aitwe haraka kwenye ushahidi wa kesi anayoibumba!
 
Embu ajaribu kumuuliza jirani yake mtoto wa muasisi wa jamhuri ya kenya kama ugaidi ni suala jipya au kuna ili tujue ugaidi ni nini.

Sent from my Pro_Max11 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza nimeliona sikio zuri la dada SSH. Binti mbichi kabisa kumbe
 
Mungu ndiye muweza wa Yote. Hatukati Tamaa tuna Mungu, Mungu wa Israel.
 
Jeshi la TZ ni mali ya serikali/rais. ndiyo sababu hata commission anawapa yeye hata kuwapandisha vyeo anaamua yeye, tofauti na nchi zingine kama Misri ambapo jeshi ni kama mhimili unajitegemea.

rais kuvaa gwanda la jeshi lake, tatizo liko wapi?
 
Wamarekani wanatafuta wateja wapya baada ya kuondoka Afghanistani, tujiandae na matukio ya kusetiwa ikiwa hawatopewa wanachokita. Msumbiji Mfaransa kala conrtact kupitia Mr.Slim, Guinea kaichukua kiulaini, Mmarekani nae hataki kupitwa.
 
Au sema tu ‘waache kudai katiba mpya!’ Hayo mengine ni ushuzi tu!
 
Gaidi nani? Hamza na Mbowe?pumbaf sana hawa, naona wanautaka ugaidi kwa nguvu ili kuwatia hofu wananchi then waonekane wao ndio wenye uwezo wa kuwalinda, kutofanyika uchaguzi au kuiba kura, michezo michafu mwisho wake ni aibu tuu, kukosekana kwa amani na hasara kubwa kwa taifa
 
Kama mlivyomfanyia gaidi Hamza, wapuuzi sana nyie na kama moto upo huo moto unawahusu
Mkuu kwani ugaidi una kwao ?!!!

Hata wale wanaojilipua na kuua wasio na hatia pia jamaa zao HUWAPONGEZA.....
 
Au sema tu ‘waache kudai katiba mpya!’ Hayo mengine ni ushuzi tu!
Yaani Katiba Mpya idaiwe na Jambazi?!
hivi wewe unajua kuwa Katiba ni kitu kitakatifu hakiwezi kudaiwa na mtu MCHAFU kama Mboe!!!
 
Magaidi si wa kuvumiliwa ...

Madhara ya ugaidi huwa ni maumivu makubwa kwa wasio na hatia......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…