P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Nov 16, 2021 #81 Mwanzoni wapinzani waliambiwa wao sio raia Baade wakafunguliwa kese za wahujumu uchumi na kutakatisha pesa! Kwa sasa wameanza kuwaita wapinzani MAGAIDI
Mwanzoni wapinzani waliambiwa wao sio raia Baade wakafunguliwa kese za wahujumu uchumi na kutakatisha pesa! Kwa sasa wameanza kuwaita wapinzani MAGAIDI
K Kihava JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 4,815 Reaction score 4,157 Nov 16, 2021 #82 elvischirwa said: Nadhani anakazia kesi. Click to expand... Anakaza hukumu al;iyotoa kupitia BBC