Kwahiyo fungu moja la fedha zipelekwe Zanzibar na jingine Tanganyika au Tanzania? Kwasababu Tanganyika haina mamlaka ya mapato?Rais yupo sahihi. Ni hela ya Tanzania na sio Tanganyika. Tanganyika haina Tanganyika Revenue Authority. Ni hela iliyokusanywa na Tanzania Revenue Authority ambayo baadhi ya mapato yanatokea Zanzibar.
Ni mpaka Tanganyika iwe na institutions zake ndio inaweza claim kitu flani ni chake! So far, we shut up
Hatamu za muungano zipo Tanganyika, Zanzibar kote kumetapakaa vichogo/majeshi kutoka Tanganyika, kama 50-50 imekuwa nongwa basi vunjeni muungano mkaungane na Algeria nchi kubwa mwenzenu.,Unaposema Tanganyika iliungana na nchi ya zanzibar kwa hiari yake Je nchi ya zanzibar haikuungana na nchi ya tanganyika kwa hiari yake? Unapojibu weka unafiki pembeni.
Potelea mbali.Na bado lazima mwanakwerekwe kuwe kama chato
Nchi 2 huru ziliungana, hiyo theory yenu haileti mantik yoyote kama muliungana kwa bahati mbaya na nchi ndogo vunjeni muungano, hatamu za muungano zote ziko Tanganyika, Wazanzibar wataenda kuungana ata na Comoro ikibidi au watajitegemeaMama hakusema wazigawe 50% kwa 50% amesema wazigawe kwa usawa , sasa Dr. Mpango anajuwa usawa ni upi
Ndo mjue kuwa hakuna atakaeweza kumlidhisha kila mtu..!! Malalamiko yataendelea kuwepo tu.Nchi 2 huru ziliungana, hiyo theory yenu haileti mantik yoyote kama muliungana kwa bahati mbaya na nchi ndogo vunjeni muungano, hatamu za muungano zote ziko Tanganyika, Wazanzibar wataenda kuungana ata na Comoro ikibidi au watajitegemea
Hivi kuna mapato yanakusanywa Zanzibar ambayo yanakuja kwenye kapu kuu la Taifa?Nakumbuka sherehe ya muungano ya mwaka juzi.fedha zake zilienda kujenga Mwanza barabara ya lami iendayo Airport
...Jpm tutamkumbuka kwa mengi..uzalendo kwanza nyumbani..[emoji2211]
Nimepata jambo hapaNchi 2 huru ziliungana, hiyo theory yenu haileti mantik yoyote kama muliungana kwa bahati mbaya na nchi ndogo vunjeni muungano, hatamu za muungano zote ziko Tanganyika, Wazanzibar wataenda kuungana ata na Comoro ikibidi au watajitegemea
Uzalendo wake anaufanyia Nyumbani-kwa wasukumaNakumbuka sherehe ya muungano ya mwaka juzi.fedha zake zilienda kujenga Mwanza barabara ya lami iendayo Airport
...Jpm tutamkumbuka kwa mengi..uzalendo kwanza nyumbani..[emoji2211]
Hakun ulazima wa malalamiko Zanzibar na Tanganyika sio nchi za kwanza kuungana., kuna miungano kibao duniani na wanakwenda vizuri sana kwa mfano muungano wa nchi za falme ya kiarabu husikii ngongwa kama hizi na wameungana karibu nchi 8 zote wanakula bataNdo mjue kuwa hakuna atakaeweza kumlidhisha kila mtu..!! Malalamiko yataendelea kuwepo tu.
Fedha kugawanywa sawa siyo sahihi ukizingatia mahitaji ya Idadi ya watu kwa pande zote mbili , ni wazi kabisa kwamba Tanzania bara mahitaji yake ni makubwa karibia mara kumi ya mahitaji yaliyopo kule Visiwani Zanzibar.Dodoma!
Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili (Tanganyika na Zanzibar) ili zikafanye shughuli za maendeleo!
Dk. Philip Mpango ametumia takribani dakika 20 kuhutubia wanakongamano na Kisha kuondoka ili aendelee na shughuli zake za Kila siku za kulijenga taifa!
View attachment 1764536
TAREHE 26 Aprili, 1964 Mataifa mawili haya ya Jamuhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya watu wa Zanzibar yalioungana na kuunda Taifa jipya la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo badae ikabadilishwa na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivyo kila mwaka ifikapo Aprili 26, tunakumbuka siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambapo mwaka huu Muungano huu unatimiza miaka 57, huku ukiwa ni Muungano wa mfano na imara katika Bara la Afrika na ulimwenguni pote.
Huna akili wewe. Kugawana ni sawa.lakini ni lazima kutokane namna nchi zote zinavyochangia kwenye muungano na kuzingatia jiografia ya nchi zote mbili.Muliidhulumu sana Zanzibar tokea uhuru at least mama aonyeshe kwamba nchi 2 ziliungana hivo faida iwe 50-50
Kuna mikoa hua inachangia pato la taifa kuliko mikoa mingine, ila likija suala la keki ya taifa wanapata sawa na mikoa isiyofanya vizuri kwenye makusanyo.Hizo hela zimepatikana wapi? Kama znz nao walichanga basi wagawiwe....hama hawakuhusika katika kupatikana kwake basi utakua ni upendeleo wa wazi
Hapa inaonyesha hela itagawiwa kwa ratio na sio pasu pasuNimepata jambo hapaView attachment 1764570
... wao (CCM) wanakuambia muungano ni miongoni mwa tunu za taifa lazima uenziwe. Kumbuka miongoni mwa "roho" za CCM ni muungano.Huu upumbavu aliuanzisha Jiwe.
Wakati wanatenga hizo fedha walikuwa wamepungukiwa akili(vichaa)?
Ni vyema wangeifuta sherehe yenyewe isisomeke kwenye kalenda