MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Uliniona kwenye hao watanzania wanaolalamika? hata kwa hao unaosema walikua 'wanalalamika' hawakuwa wanalalamika ni dhahiri jeshi haliwezi kujichunguza lenyewe, walikua na hoja ya msingi. Binafsi yangu nahoji matokeo ya hizi tume za uchunguzi huwa yanawekwa wapi??Watanzania ni wapumbavu sana. Juzi hapa mlikuwa mnalalamika kuwa haiwezekani JESHI LIJICHUNGUZE LENYEWE, leo Rais kaamua kuwe na tume huru ya kufanya uchunguzi huo bada mnalalamika. WAPUMBAVU