MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Uliniona kwenye hao watanzania wanaolalamika? hata kwa hao unaosema walikua 'wanalalamika' hawakuwa wanalalamika ni dhahiri jeshi haliwezi kujichunguza lenyewe, walikua na hoja ya msingi. Binafsi yangu nahoji matokeo ya hizi tume za uchunguzi huwa yanawekwa wapi??Watanzania ni wapumbavu sana. Juzi hapa mlikuwa mnalalamika kuwa haiwezekani JESHI LIJICHUNGUZE LENYEWE, leo Rais kaamua kuwe na tume huru ya kufanya uchunguzi huo bada mnalalamika. WAPUMBAVU
Hii Kamati majibu yake yatakuwa kama zile kamati za kuchunguza moto.KAMATI KAMATI KAMATI KAMATI KAMATI,
Matokeo ya kamati = Zero
Kwani polisi wanaripoti kwa waziri mkuu,? Mh. Rais Ana nia nzuri lakini kakosea njia sahihi ya kushughulikia hili suala.
Asante Mh. Rais kwa maamuzi hayo, japo unamtupia waziri mkuu kazi zisizomhusu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kituko, kwahiyo mlitaka asiunde tume huru.Mama ondoa Sirro weka ustaadhi mwenzako.
Acha upumbavu, hayo mmedai lini?? Kila siku mnadai kitu kipya.Watu wanachotaka ni kamisheni huru na ya kudumu itakayosimamia muda wote majukumu ya jeshi la polisi na sio hizi tume za muda.
Ivyo nadhani mpumbavu ni wewe ambae ata kuelewa walichosema hukuelewa
Kuna fununu hiyo kamati itaongoza na mr Lisu,, [emoji23][emoji23]Sidhani kama Kuna mtu anaweza kupinga hatua hii aliyochukua. lakini hiyo haifanyi watu wasipingine mengine ambayo wanaona hayapo sawa.
Hizo sheria haziwezi kutungwa kamwe na hawa wanufaika wa utawala usio tii sheria wala katiba!However, huhitaji katiba mpya kuwa na chombo huru cha kusimamia taasisi ya jeshi la polisi.
Huwezi kuwa na katiba ambayo ni exhaustive namna hiyo. Kwamba kila kitu kiwe constitutionally covered. Mambo mengine yanahitaji kutungiwa tu sheria basi
Ndiyo sababu huko USA polisi wakilalamikiwa uchunguzi unafanyika mara moja tofauti na huku kwetu uchunguzi utafanyika kama haugusi maslahi ya wateule wachache!USA kuna katiba inayosimamia mambo yote haya.Bado Polisi wanafanya makosa na uoevu.
Mmomonyoko wa maadili na wahusika kutotimiza kazi zao kikamimifu na inavyotakiwa haya yasingetokea.
USA wana mfumo mzuri lakini ndio wanaongoza kwa kuwa na magereza zilizojaa wahalifu.
Hamna golden bullet ya matatizo yetu bali kila mtu atimize wajibu wake kwa uadilifu bila uonevu wala upendeleo.Sheria zifuatwe bila ubaguzi wewe ni nani na unatokea wapi.
Tatizo hizo kamati zinatoa taarifa sahihi? Ulisikia sababu za soko la mchikichini kuungua?Watanzania ni wapumbavu sana. Juzi hapa mlikuwa mnalalamika kuwa haiwezekani JESHI LIJICHUNGUZE LENYEWE, leo Rais kaamua kuwe na tume huru ya kufanya uchunguzi huo bado mnalalamika. WAPUMBAVU