Rais Samia: Haiwezekani jeshi lifanye mauaji na lijichunguze lenyewe

Sidhani kama Kuna mtu anaweza kupinga hatua hii aliyochukua. lakini hiyo haifanyi watu wasipingine mengine ambayo wanaona hayapo sawa.
penye zuri tutasifia na makofi tutapiga. Penye uoza (ambao ndio mwingi) tutapaza sauti akisikia asisikie shauri yake.
 
Kilio ni tume ya kijaji ya kitaifa izunguke nchi nzima kupokea malalamiko dhidi ya askari, haswa mauaji. Wanaohusika wahojiwe. Mapendekezo yatoke.

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
IGP ndio target hapo, next CDF jipange baada ya hapo the Coup and total Islamization of Our land is complete!
We ni mpumbavu kabisa, ungejua CDF ameongezewa muda wa kustaafu Hadi .....halafu muache chuki za kidini kenge nyinyi, Rais kila analofanya mnachukia,kumbe mna chuki binafsi tu mb.wa nyinyi
 
Watanzania ni wapumbavu sana. Juzi hapa mlikuwa mnalalamika kuwa haiwezekani JESHI LIJICHUNGUZE LENYEWE, leo Rais kaamua kuwe na tume huru ya kufanya uchunguzi huo bado mnalalamika. WAPUMBAVU
Wewe ndiye Mpumbavu. Polisi wameua raia na ushahidi upo wazi. Kamati unaunda ya nn badala ya kuchukua hatua Kwa wauaji??
 
Huko Marekani, askari polisi Mweupe alimuua Floyd, raia Mweusi. Jeshi la Polisi walimshika askari mwenzao, wakamweka mahabusu, uchunguzi ukafanywa, mtuhumiwa akafikishwa mahakamani na kupatikana na hatia. Huo ni mfano mmoja tu. Kuwa na tunda lililooza mtini hakumaanishi mti mzima ukatwe kwa sababu tu ya hilo tunda moja. Na siyo sahihi kusema jeshi la polisi ndilo lililomuua huyo raia wa Mtwara. Kilichotokea ni kwamba askari mmoja wa polisi ndiye aliyefanya hayo mauaji. Jeshi zima la polisi lisijumlishwe kwenye mauaji hayo. Aidha, kusema jeshi la polisi haliwezi kujichunguza lenyewe, lazima tutamke chombo mbadala cha kufanya huo uchunguzi.
 
IGP ndio target hapo, next CDF jipange baada ya hapo the Coup and total Islamization of Our land is complete!
Kwa hiyo Magufuli alipokuwa Rais ilikuwa Dola ya kikristo. Kwa sababu IGP na CDF walikuwepo.
Kapimwe akili.
 
Ameshaongea mengi mazur Ila shida IPO kwenye kutekeleza
 
Mkuu bila kuwa na political will hata katiba iwe exhaustive kwa kiwango gani hakuna muujiza utakaotokea.
Nikupe mfano wa jambo ambalo liko sasa hivi kuhusu uvunjifu wa katiba. Katiba inataka mtu ili awe mbunge lazima atokane na chama cha siasa. Sasa nikuulize, Halima Mdee na wenzake 18 ni wabunge wa chama gani?
Hii katiba yetu ya sasa imeshindikana kusimamiwa na kutekelezwa, unadhani hiyo inayokuja muujiza gani utaifanya itekelezeke?
Siyo kweli kwa kuwa uki- overhaul katiba utendaji wa watendaji utabadilika na baadhi ya watendaji wataondoka katika nafasi zao!
 
Tunataka Mh.Rais aunde Tume ya kijaji kuchunguza walau uozo na unyama wote uliowahi kutokea kati ya 2015-to date.
Vinginevyo itakuwa ni ubaguzi,biasness.Wapo Watanzania wengi sana wameuawa,kupotea,kutekwa ama kujeruhiwa na tukiulizia tunaambiwa ni watu wasiojulikana.
 
Kwa nini wasiunde kamati ya kuchunguza tukio la lissu kupigwa risasi maeneo ya serikali?
 

Usishangae hicho chombo unachopendekeza kikaundwa na chenyewe ikabidi kiundiwe tume.
 
Watanzania ni wapumbavu sana. Juzi hapa mlikuwa mnalalamika kuwa haiwezekani JESHI LIJICHUNGUZE LENYEWE, leo Rais kaamua kuwe na tume huru ya kufanya uchunguzi huo bado mnalalamika. WAPUMBAVU
Mbona unatutukana waTz ni wapumbavu?!
Tuombe radhi haraka....
 
Kwa hili tupo pamoja, saafi sana mama
Nakumbuka kesi ya Zombe na wale Askari waliouwa wafanyabiashara 3 na taxi driver. Kamat ilithibitisha kwamba waliuawa na polisi ila wakaachiwa na mahakama. Ile kesi ikatiwe rufaa. Hata Hawa polisi wataachiwa tuu hata wakikutwa na hatia na kamati.
Police na mahakama lao moja.
 
Usishangae hicho chombo unachopendekeza kikaundwa na chenyewe ikabidi kiundiwe tume.
Well as long as Polisi wakijua wanafuatiliwa Kwa kila jambo wanalofanya basi Kwa kiasi Fulani itapunguza uharamia wao!
 
Ingekuwa kwa we wenzetu IGP out tena bila kulazimishwa na mtu
 
Well as long as Polisi wakijua wanafuatiliwa Kwa kila jambo wanalofanya basi Kwa kiasi Fulani itapunguza uharamia wao!

Mkuu hayo ndio matamanio, lakini utekelezaji ni kinyume kabisa. Mfano halisi kuna takukuru, je traffic wameacha kuchukua rushwa barabarani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…