Una uhakika waliohusika ni wale tu?? Nikikwambia walichukua Karibu Mil 800 utaamini?? Unajua kuwa walianza kumfatilia huyo dogo tangia 2020 utaamini?? Na je unajua kuwa kupitia fedha za huyo kijana askari hao wamejenga na kununua magari utaamini??Wewe ndiye Mpumbavu. Polisi wameua raia na ushahidi upo wazi. Kamati unaunda ya nn badala ya kuchukua hatua Kwa wauaji??
Takukuru sio chombo mahususi Kwa ajili ya Traffic,kina operate Ina general kwa masuala ya rushwa kwenye maeneo yote nchini!Mkuu hayo ndio matamanio, lakini utekelezaji ni kinyume kabisa. Mfano halisi kuna takukuru, je traffic wameacha kuchukua rushwa barabarani?
Mwenzetu wewe raia wa nchi gani taja tuone kama wewe siyo mpumbavu maana umesema watanzania akiewemo mtanzania Samia ni wapumbavu..Watanzania ni wapumbavu sana. Juzi hapa mlikuwa mnalalamika kuwa haiwezekani JESHI LIJICHUNGUZE LENYEWE, leo Rais kaamua kuwe na tume huru ya kufanya uchunguzi huo bado mnalalamika. WAPUMBAVU
Takukuru sio chombo mahususi Kwa ajili ya Traffic,kina operate Ina general kwa masuala ya rushwa kwenye maeneo yote nchini!
Halafu masuala ya rushwa ni magumu,maana ni Siri kati ya mtoaji na mpokeaje!Tofauti na issue za Polisi ambapo upande mmoja unakuwa umeumizwa hivyo ni rahisi kupata taarifa na kuzifanyia kazi!
Ukiwa una tatizo kwenye gari yako,traffic akachukua 5000,wewe huwezi lalamika maana kakufanyia wepesi kuliko ambavyo angekuandikia faini!Hapo ndio maana ni vigumu kumaliza rushwa Kwa traffic,maana ni win win situation!
However, huhitaji katiba mpya kuwa na chombo huru cha kusimamia taasisi ya jeshi la polisi.
Huwezi kuwa na katiba ambayo ni exhaustive namna hiyo. Kwamba kila kitu kiwe constitutionally covered. Mambo mengine yanahitaji kutungiwa tu sheria basi
Hata kama ni wewe ukifanya kosa halafu ujichunguze utajitia hatiani?Kwa hili yupo sahihi, Polisi wajanja wajanja sana, wapo tayari kupoteza ushahidi ili wajiokoe
Akiweka huyo ustaadh mwenzake ndo police wataruhusiwa kujichunguza wenyewe?Mama ondoa Sirro weka ustaadhi mwenzako.
Ok ni kweli lakini hii inasababishwa na nafasi nyingi za uongozi kuwa za kuteuliwa.Mkuu bila kuwa na political will hata katiba iwe exhaustive kwa kiwango gani hakuna muujiza utakaotokea.
Nikupe mfano wa jambo ambalo liko sasa hivi kuhusu uvunjifu wa katiba. Katiba inataka mtu ili awe mbunge lazima atokane na chama cha siasa. Sasa nikuulize, Halima Mdee na wenzake 18 ni wabunge wa chama gani?
Hii katiba yetu ya sasa imeshindikana kusimamiwa na kutekelezwa, unadhani hiyo inayokuja muujiza gani utaifanya itekelezeke?
Hii tume ni just a toothless dragonHivi hii tume ya haki za binadamu na utawala bora nayo haikuona wajibu wa kuchunguza haya mauaji? Sheria iliyoianzisha haiwapi mamlaka? Ni fedha wananyimwa? Ni uongozi wake vipofu? Wanataka waandikiwe barua ya malalamiko ndo wachukue hatua?
Mambo mengine yananishangaza sana sana.
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Watanzania ni wakuongoza kwa mkono wa chuma t mkuu wapumbavu sana sie,Watanzania ni wapumbavu sana. Juzi hapa mlikuwa mnalalamika kuwa haiwezekani JESHI LIJICHUNGUZE LENYEWE, leo Rais kaamua kuwe na tume huru ya kufanya uchunguzi huo bado mnalalamika. WAPUMBAVU
kwanza nampongeza sana mh Rais wa JMT kwa tamko hili na maagizo yake kwa mh PM.Polisi wamezidi uonevu, Wawekewe Ofisi ya kuwasimamia
Zombe ni nani? Nimezaliwa 2004Ulikuwepo enzi za ZOMBE au ulikuwa Karanga??
Sasa kama hayo yote Kwa muda wote huo mnayajua kwanini muhangaike kupoteza muda na tume badala ya kukamata wahusika kisha kuwapeleka Mahakamani wakatajane huko???Una uhakika waliohusika ni wale tu?? Nikikwambia walichukua Karibu Mil 800 utaamini?? Unajua kuwa walianza kumfatilia huyo dogo tangia 2020 utaamini?? Na je unajua kuwa kupitia fedha za huyo kijana askari hao wamejenga na kununua magari utaamini??
Kaa kwa kutulia, hiyo tume ndio itakupa mkeke kamili, polisi wametoa ripoti ikiwa ni sambamba na kuwalinda watu kadhaa.
Sasa nini kifanyike Mkuu??Takukuru sio chombo mahususi Kwa ajili ya Traffic,kina operate Ina general kwa masuala ya rushwa kwenye maeneo yote nchini!
Halafu masuala ya rushwa ni magumu,maana ni Siri kati ya mtoaji na mpokeaje!Tofauti na issue za Polisi ambapo upande mmoja unakuwa umeumizwa hivyo ni rahisi kupata taarifa na kuzifanyia kazi!
Ukiwa una tatizo kwenye gari yako,traffic akachukua 5000,wewe huwezi lalamika maana kakufanyia wepesi kuliko ambavyo angekuandikia faini!Hapo ndio maana ni vigumu kumaliza rushwa Kwa traffic,maana ni win win situation!