Ficha upumbavu wako.Yaani hivyo viwanda viwili vinaacha uzalishaji siku ya Mei 1 ili kuhudhuria uwanjani?Labda huujui Arusha.
Miaka yote Mei mosi maudhurio yanakuwa makubwa kwasababu ya A to Z iliyoajiri zaidi ya wadada (cheap labour) msharahara 150,000 idadi yao ni kama 10,000 hivi.
Sunflag hivyo hivyo wafanyakazi 5,000,wote hawa ni wahindi ambao siku zote wanatumika na serekali ya mkoa.
Ukiwaweka na waalimu,manesi........lazima uwanja utapike.
So ukijibaraguza na Makonda wako unakuwa unasumbuliwa na ugonjwa wa kutokujua.
Miaka yote walikuwa wanakuja "kujaza" uwanja.
Njoo na sababu nyingine.Tunaoishi Arusha tunajua hamasa ilikuwa kubwa Mei Mosi na sababu kubwa ni uhamasishaji uliofanywa na Makonda.