NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 1,390
- 1,446
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.
Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.
Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa
Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
CCM acheni kutoa toa elfu 7 (allegedly) za bure. They make the party look ignorant. Hawanaga jipya la kusema -- matusi hayo hayo kila siku. Watu mnaowatuma kuwatetea lack creativity and depth of thought! Bonne chance!Peleka ucenge wako wa kiingereza kwa wacenge wenzio
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.
Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.
Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa
Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Na muda huohuo unajiita gallow bird?Peleka ucenge wako wa kiingereza kwa wacenge wenzio
Ndio hapo sasa.Na muda huohuo unajiita gallow bird?
Asubuh mpaka jion Sala ni moja tu alaniwe mama Samia na uzao wake wote siku zote za maisha yake
Milele na milele AMINA
Amen !!!Asubuh mpaka jion Sala ni moja tu alaniwe mama Samia na uzao wake wote siku zote za maisha yake
Milele na milele AMINA
Toa mifano kama ipo tuone. Rais gani aliishawahi kuliacha "Kanisa" lifanye linavyofanya? Na ukisema "Kanisa" ujue unamaanisha "Kanisa Katoliki Tanzania" na sio Gwajima au Mwamposa au Kakobe. Ni Kanisa Moja Katoliki la Mitume Tanzania!Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.
Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.
Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa
Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
😹😹😹Misikiti yote hapa Dar ifungwe kwa kelele zisizo na tija kwa wananchi, kuna maana gani mtu unaamshwa saa kumi alfajiri tena kwa kushituliwa na maspika ya watts 10,000 na kuambiwa usilale eti ukasali, nani aliyesema kuswali ni lazima? Miskiti iliyo karibu na makazi ya watu ivunjwe ikajengwe maporini siyo mijini, tunataka ustaarab.
Wapumbavu kama ninyi mnaosupport ushenzi na kuwa kimya ndio ipo siku tutawachoma moto hadharani..ipo sikuKaka,kafanye kazi watoto wasife njaa
SawaWapumbavu kama ninyi mnaosupport ushenzi na kuwa kimya ndio ipo siku tutawachoma moto hadharani..ipo siku