The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Nimeamka asubuhi naangalia habari nataka kuingia x nashangaa hailodi, kumbe mtandao wa X nao umeufungia...unanilazima niangalie mautoko yako ya TBC1!? Shindwa pepo mchafu wewe.
Haya naamua kuweka VPN kama niko North Korea vile nipate habari, naona polisi sasa hawafanyi kazi kulinda raia na mali zao bali kuvamia makanisa ya watu!!...umechanganyikiwa kiasi hiki kweli!?
Hakika utavuna unachopanda haitapita mwezi wa Saba....LEMA ALISHAKUAMBIA MENE MENE TEKELI NA PERESI...UTAWALA WAKO UMEVUNJWA VIPANDE VIPANDE NA AMEPEWA MTU MWINGINE KUTAWALA....
Cheza na pesa zetu, gawa pesa zetu, fuja kwa kampeni na machura wenzako wakijani, cheza na watoto wako kina Abdul, ILA USICHEZE NA WATU NA IMANI ZAO ...THIS TIME ITAKUCOST BIG TIME.
WATANZANIA WALISHAKUWA GWAJIMANIZED KITAMBO TU ILA WAMEKUWA WAPOLE ILA THIS TIME AROUND PATAFUKA MOSHI!!....
Hatuwezi vumilia ushenzi na upumbavu kama huu, hii nchi ni yetu sisi sote...
Na wananchi kwa umoja wetu jamani tusicheke na Wowote!!
Watu ganiNimeamka asubuhi naangalia habari nataka kuingia x nashangaa hailodi, kumbe mtandao wa X nao umeufungia unanilazima niangalie mautoko yako ya TBC1!? Shindwa pepo mchafu wewe.
Haya naamua kuweka VPN kama niko North Korea vile nipate habari, naona polisi sasa hawafanyi kazi kulinda raia na mali zao bali kuvamia makanisa ya watu!!...umechanganyikiwa kiasi hiki kweli!?
Hakika utavuna unachopanda haitapita mwezi wa Saba....LEMA ALISHAKUAMBIA MENE MENE TEKELI NA PERESI...UTAWALA WAKO UMEVUNJWA VIPANDE VIPANDE NA AMEPEWA MTU MWINGINE KUTAWALA....
Cheza na pesa zetu, gawa pesa zetu, fuja kwa kampeni na machura wenzako wakijani, cheza na watoto wako kina Abdul, ILA USICHEZE NA WATU NA IMANI ZAO ...THIS TIME ITAKUCOST BIG TIME.
WATANZANIA WALISHAKUWA GWAJIMANIZED KITAMBO TU ILA WAMEKUWA WAPOLE ILA THIS TIME AROUND PATAFUKA MOSHI!!....
Hatuwezi vumilia ushenzi na upumbavu kama huu, hii nchi ni yetu sisi sote.
Na wananchi kwa umoja wetu jamani tusicheke na Wowote!!
Stori za kwenye bible zina ukakasi. Ungeachana nazo. Mpakwa mafuta Gwajima aliyewadanganya watu atawapeleka Birmingham naye ni wa kuchekewa? Gwajima kachezea moto.Farao wa Misri alipompinga Musa na kuwakandamiza Waisraeli, Mungu alimtuma Musa kuwaokoa. Mwisho wake, Misri ilipata mapigo kumi na Farao akapoteza jeshi lake katika Bahari ya Shamu (Kutoka 7-14).
2. Usimguse mpakwa mafuta wangu, wala usiwatendee mabaya manabii wangu.” — Zaburi 105:15
- Nebukadneza wa Babeli alipotaka kujitukuza juu ya Mungu, alinyenyekeshwa hadi akakubali kuwa 'Mungu aliye juu ndiye anayemtawala mwanadamu' (Danieli 4).
- Herode alipojiona kuwa kama Mungu, akakulaumiwa na watu wa Mungu, Mungu alimwangusha (Matendo 12:21-23).
- Katika Ufunuo wa Yohana, mataifa yanayompinga Mungu huangamizwa kwa moto, mapigo, au hukumu kutoka kwa Mungu (Ufunuo 19-20).
Kanisa ni taasisi iliyosajiliwa na serikali kwa mujibu wa sheria kwa hiyo inatakiwa kufuata sheria. Pia kanisa la Gwajima ni kama mali yake binafsi ndo maana anaamua kulitumia kisiasa tofauti na makanisa mengine kama RC, SDA, KKKT nk. Pia kumbuka serikali haiendeshwi kwa kufuata imani za kidini bali sheria.Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.
Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.
Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa
Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
dini ya kikiristo ni fradulent SCAM, kanisa la Gwajima ni mfano mzuriKwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.
Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.
Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa
Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Allah Akbar!Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.
Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.
Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa
Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Kwa akili zenu watekaji mnadhani hamjulikani?Gwaji boy aache uoga amefuatwa na polisi awasikilize kwanza aache kulichafua jeshi la polisi. Kuna kauli ameisema "Tunaona defender hatujajua ni polisi au ndo watekaju wenyewe" Hii kauli imekaa vibaya sana na huyu jamaa analikosea sana jeshi letu kulifananisha na watekaju.
Uzi wako haujakamilika haujasema Samia amelifanya Nini kanisaKwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.
Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.
Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa
Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Kanisa la mcheza X nalo kanisa. Alafu harakati zenu za kanisa sio za kila mtanzania. Usihusishe watanzania wote na kanisa.Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.
Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.
Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa
Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Wewe ndio ulitakiwa ubaki huko huko polini kama umekuja Dar inamaana umewafuata waislam kwahiyo usiwapangie Sheria kama unakereka Rudi kwenuMisikiti yote hapa Dar ifungwe kwa kelele zisizo na tija kwa wananchi, kuna maana gani mtu unaamshwa saa kumi alfajiri tena kwa kushituliwa na maspika ya watts 10,000 na kuambiwa usilale eti ukasali, nani aliyesema kuswali ni lazima? Miskiti iliyo karibu na makazi ya watu ivunjwe ikajengwe maporini siyo mijini, tunataka ustaarab.
Jina langu halisi ni Julius nathanielNa muda huohuo unajiita gallow bird?