Rais Samia: Hakuna atakayeuza Tanzania. Sitaki Shida nataka Watanzania Waishi Maisha mazuri

Maisha bora hayalazimishwi kwa mitutuna kesi za kubumba.
 
Umesha uza Tanganyika kwa DP world kila mtu anajua fika
 
Kutetea dili ambalo pesa mmeshaipasua alafu linataka kubuma kazi kweli kweli mana utatumia kila njia mambo yaende..
 
Umesha uza Tanganyika kwa DP world kila mtu anajua fika
Nadhani mama pengine hajausoma ule mkataba vizuri na akauelewa ama wanasheria aliowaamini sana wamempotosha ndio maana akaja na maneno kama hayo
Cha pili nadhani angevunja ukimya na kujitokeza kwenye presidential press conference aongee na taifa kwa mamlaka kama kiongozi mkuu, awape watu confidence na kuamrisha wanasheria kupitia upya mkataba (hata kwa kuzuga) tu ili at least a win public trust kwa muda
Kuwaendea TLS na kuwataka wamasaidie bado kunatengeneza ama kunazidi kutengeneza ombwe na hisia hasi kama kiongozi mkuu kati yake na wananchi wake

Kingine kibaya zaidi ni kuwakabidhi TLS hati ya kiwanja katika mazingira kama haya.. Hli halijajenga bali limezidi kuharibu.. Ni kama vile TLS wamefungwa mikono rasmi..!

Mama apunguze kuwaamini watu maana wameshamharibia vya kutosha sana sasa anahangaika pekeyake huku wao wakiwa nyuma ya pazia wanamcheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 

Attachments

  • 13C6B242-1374-4A34-8B95-1A29C92A0262.jpeg
    27.3 KB · Views: 2
  • 5DD3A3BE-7B02-41B8-BF44-8C2C67A9C184.jpeg
    51.7 KB · Views: 2
  • ACBCCFC8-88EA-4C32-9C6E-08454D77A821.jpeg
    103.2 KB · Views: 2
  • B89B6DD9-9307-4424-B3C5-CDEBC583BDD1.jpeg
    44.1 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…