Rais Samia, hii kauli ya kuwaruhusu Mawaziri wajipimie, wasivimbiwe itolee ufafanuzi tena

Hangaya hii video kaonesha ni Utopolo hatari hii ni laana ya Ndugai
 
JF Member unataka Rais atoe ufafanuzi gani tena wakati kwenye ile hotuba amesema kuwa ile kauli ni mara ya pili anaitoa?

Hii maana yake ni kwamba alichoongea jana wala hajateleza bali ndiyo msimamo wa serikali yake.View attachment 2080262
Du hii mpya kweli kweli. Rais wangu if you leave the door open like that how are you going to control it, jipimie!!.
 
wakivimbiwa watajamba sana na hivyo kuchafua hali ya hewa
 
Mimi nataka kujua chief Hangaya yeye anajipimia ngapi au keshavimbiwa mara ngapi? 😁😁😁😁😊😊😊😊😊🀭🀭🀭 mimi naona ana struggle for acceptance kutaka kumplease kila mtu ndio matokeo yake hayo unaongea utumbo
 
Ndo mnajaribu kumtetea kwa namna hii kweli kazi ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katiba mjomba
 
Serikali inaongozwa na MWANADAMU na si MUNGU......


Mwanadamu huyo anawakumbusha WATENDAJI KUSIMAMIA VIAPO VYAO vifuatavyo........

1)Kutoingiliana katika majukumu ya mipaka ya kazi zao....kazi yoyote ina maslahi binafsi na Yale makuu zaidi(kutoa huduma kwa jamii)

2)Kutochafuana ,kubagazana na kufitiniana kwa kiongozi mkuu(kwenda kusema kwa mama)

Mh.SSH amefafanua vyema tu ila baadhi yetu tumeamua kufanya UPOTOSHAJI WA MAKUSUDI.....

#Siempre JMTπŸ™
 
Ulikuwa unapunguza uzito wa maneno aliyotamka. Rudi kwenye andiko lako
Sijapunguza uzito wa maneno ila nina utaratibu wangu wa kumkosoa raisi wa nchi. Ameonyesha udhaifu kama amirijeshi mkuu kuwataka walafi wajitathimini wenyewe badala ya kuwawajibisha, still sina sababu ya kutumia maneno makali kutoa hoja yangu.
 
Hajataka kua mnafiki kauli za kuongopeana zishapitwa na wakati hakuna rais au chombo chochote kinachoweza kuwadhibiti kwa 100%, ata umuweke malaika lazima atafanya yake , sema wanatofautiana kiasi cha upigaji ukiona hadi wenye nchi limetufikia ujue alikula akashiba akaleta urafi kutaka kuendelea kula had I kavimbiwa Ila kusemΓ  wasile kabisa haiwezekani
 

Kama alilenga kutoa onyo basi sidhani kama ilitoka moyoni. nilioona mimi Rais anajua kabisa mawaziri na manaibu ni wapigaji, sasa anachowaambia wasipige sana, na yeye hana shida na hilo kama watapiga ila wasizidishe na kuvimbiwa. Maneno ambayo naona kama Rais wetu mpendwa alikosea kuyatamka.
 
Dah aisee ipo kazi. Nilimsikiliza kikadhani mm sijaelewa. Hii ni kama kuhalalisha rushwa lkn iwe ndani ya himaya yako. Too bad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…