Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Yupi huyo..Yule mwenye hijabu,nimemsahau jina.
Mama asije kusoma mambo ya kimasihara tu huko mmu[emoji1787][emoji1787]
Sio kweli,Mama ID yake hii Samiaagain2025
Wewe unadhani kwanini BAWACHA waliandaa Bango kubwa pale mlangoni kuanzia alfajiri?Hasa akisoma uongo wa johnthebaptist alivyo muongo na mzushi kiasi cha kuleta Tafranil JF.
Juzi kaleta taharuki juu ya covid-19 kwamba ni makubaliano ya maridhiano UONGO MTUPU!
Tuache uzushi na huyu Jo aonywe
Uwezo wako ndio unakuweka hapo ulipo, huhitaji kutokukosoa jambo ili upewe nafasi au cheo, huo ni umaskini wakifikra ukifanya hivyo waweza kuja wauza watanzania wenzako kwa kudanganywa na ela kidogo na watawala..
Analia Mkuu. Hapo vipi?Alaaaah kwa hiyo anacheka tuu, alafu baada ya kucheka?