#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

Pamoja na yooote anafungwa na kiapo chake. Ana platforms za kuyasema haya na kurekebisha kwakua kauli kama hizi zinaligawa taifa, mbaya zaidi kasemea nje...Niliwaza hivyo...
 
Hata hivyo ni vyema Samia akaachana na habari za magufuli.ameshajilalia hawezi kujitetea
Natural justice pia inatuasa hivyo. Hii ni kama kuwa mshitaki, hakimu na bwana jela wewe huyo huyo huku mtuhumiwa akiwa hana nafasi wala uwezo wa kujitetea na yeye akasema upande wake na mzani ukaamua nani msema kweli nadhani ndiyo sababu kukawa na viapo ili kulinda mambo yafananayo kama hayo
 
Magufuri alikuwa fisadi muuwaji mwizi roho mbaya ya visasi
 
Nina imani hata Mama Pombe akihojiwa vizuri anayomengi alikuwa anatofautiana na Mumewe
 
Uwanja wa taifa waliaga mwili mamilioni na sehemu kibao misongamano mikubwa akiwemo mama Samia wakuu wa vyombo.vyote vya ulinzi na usalama na hakuna aliyekuwa kachanja au kuvaa barakoa uliona walikufa kwa Corona?
Unafurahia upumbafu wao.
 
Pamoja na yooote anafungwa na kiapo chake. Ana platforms za kuyasema haya na kurekebisha kwakua kauli kama hizi zinaligawa taifa, mbaya zaidi kasemea nje...Niliwaza hivyo...
Nakumbuka CAG mstaafu, Assad alizungumza mambo flani akiwa nje ya nchi, zilitoka kauli za kuitukana nchi na faster akaitwa Dodoma
 
Sasa ndio akasemee nje ? Kwani angesema akiwa nchini angedhurika?, huko ndio kujipendekeza kwa wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…