Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
ThanksThis is bad and very insulting. Unakosoa uuambaji wa Mungu? Wewe hukuzaliwa na mwanamke ? Shame on you! You are disgrace.
S
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThanksThis is bad and very insulting. Unakosoa uuambaji wa Mungu? Wewe hukuzaliwa na mwanamke ? Shame on you! You are disgrace.
S
Ni shida sana kuwa na Rais mwenye elimu ya kuungaunga na uelewa finyuHivi si aliapa pia kutunza siri alizozijua wakati akiwa kwenye nafasi, ama?
Kwa nini hakuachia ngazi? Makamu wa Rais ndiye mshauri mkuu wa Rais. Unaonekana kwenye video ukisifia juhudi kumbe rohoni una yako. Huo ni unafiki usiokubalika.Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli.
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO-19.
View attachment 2188625
Anachosahau ni kwamba, yeye atanangwa akiwa hai baada kumaliza muda wake.
Karma is real...
Sio vizuri kusema Mambo ya "chumbani "kwako nje japo ni kweli,yaani hiyo ni kama "kuwalamba miguu" mabeberu!
Mtangulizi wake mwenyewe kwa nyakati tofauti aliwahi kukiri ni kichaa hata baadhi ya watu waliomfahamu kwa karibu kuanzia TANROADS
View attachment 2188891
walishangaa kuona jamaa wamempa ofisi kubwa kama ile.
huyu mama dishi limeyumba! Hajielewi! Hajitambui! Anajipendekeza kwa mabeberu ili apate nini? Kaporomosha uchumi na kurudi umasikini! Ombaomba! Mtangulizi wake kapambana na kupewa bigup jinsi alivyohandle covid ndani na nje! Sasa anaongea nini?Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli.
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO-19.
View attachment 2188625
Umeandika ujinga.Huyo Mungu alikua tanzania tu.Corona haikua tishio kivile kama nchi za ulaya kwahiyo kutokua na vifo vingi sio kwasababu hakukua na lockdown au tulimwomba sana Mungu.Na ziko nchi nyingi tu za afrika nao hawakuathirika sana na covid.Tumia kichwa chako kufikiri sio kukaririshwa.Kwa issue ya Corona kweli mama Samia alikuwa kutwa akihutubia anasema kagonjwa Kapoo!!!!
Magufuli hajawahi sema Corona haipo uongo alisema dawa haijapatikana tutumie maombi na dawa za asili zetu wenyewe sababu Tatizo kubwa huko kwenye wataalamu wanakufa na kuanguka maiti mabarabarani
Mama Samia dini hana akawa anaamini dawa za wazungu na barakoa
Magufuli akasema tusali Siku Tatu na kujifukiza na kunywa dawa ya kienjyeji ikatusaidia.Hakukuwa na lockdown wala nini
Corona Tanzania bila Mungu kuingilia kati tungekufa kama mbwa kwenye kuaga marehemu Magufuli. Ule msongamano hakuna ambaye ⁶angekuwa hai leo akiwemo mama Samia sababu hakuweko aliyechanja wala kuvaa barakoa.Hakukuwa na lockdown watu wanajazana kwenye daladala Mungu akatuepusha
Kwenye Corona tofauti ya Magufuli na mama Samia ilikuwa ya kidini kati ya mtumaini Mungu magufuli na mpagani mama Samia ambaye hakuona umuhimu wa Mungu kwenye kukabiliana na Corona na matumizi ya njia mbadala local grown mwabudu wazungu na solution zao za Corona
You have got a lot to learn.....Unajua maana ya sentensi uliyoiwekea mabano???
its... Hii lugha ya watu mnapenda kuiparamia
Kuna unafiki sana kwenye siasa, ahsante kwa kuliona hili maana hata mie nilitaka kuandika kuhusu uvaaji wa barakoa maana mtu unakuwa mnafiki mpaka kwenye afya yako yaani unaogopa ugonjwa alafu huvai barakoa kisa utaonekana upo kinyume na maonoya Rais.Kama kweli walitofautiana lakini akashindwa kusimamia alichokiamini mpaka mwisho basi hakuwa na msimamo.
Sikuwahi kumuona Samia akiwa amevaa barakoa wakati wa Magufuli, mtu pekee niliyemuona amevaa barakoa alikuwa ni Kikwete pekee.
Kama yupo aliyemuona Samia kuvaa barakoa wakati ule anioneshe picha na Magufuli akionekana.
Inawezekana Samia aliogopa kitumbua chake kisiingie mchanga akawa tayari kuweka reheni afya yake.
Ila mpagani bado anaishiKwa issue ya Corona kweli mama Samia alikuwa kutwa akihutubia anasema kagonjwa Kapoo!!!!
Magufuli hajawahi sema Corona haipo uongo alisema dawa haijapatikana tutumie maombi na dawa za asili zetu wenyewe sababu Tatizo kubwa huko kwenye wataalamu wanakufa na kuanguka maiti mabarabarani
Mama Samia dini hana akawa anaamini dawa za wazungu na barakoa
Magufuli akasema tusali Siku Tatu na kujifukiza na kunywa dawa ya kienjyeji ikatusaidia.Hakukuwa na lockdown wala nini
Corona Tanzania bila Mungu kuingilia kati tungekufa kama mbwa kwenye kuaga marehemu Magufuli. Ule msongamano hakuna ambaye ⁶angekuwa hai leo akiwemo mama Samia sababu hakuweko aliyechanja wala kuvaa barakoa.Hakukuwa na lockdown watu wanajazana kwenye daladala Mungu akatuepusha
Kwenye Corona tofauti ya Magufuli na mama Samia ilikuwa ya kidini kati ya mtumaini Mungu magufuli na mpagani mama Samia ambaye hakuona umuhimu wa Mungu kwenye kukabiliana na Corona na matumizi ya njia mbadala local grown mwabudu wazungu na solution zao za Corona
Huyu mwanamke hafai kuwa Rais, hakutakiwa kwenda kinyume na kiapo chake.This is not presidential at all. Mama anapaswa kufanya yake tu sasa bila kumtajataja marehemu
Collective responsibility holds. Otherwise angeachia ngazi those days
Ndo maana Ameir alichukua majimbo mengine aliona bi mchele anabwatuka ovyo.Ndugu zangu, WALE ma bachelor angalieni wake wa kuoa,kabla humjapendekeza mgombea mwenza wa jimbo kuu la ndoa!
Kwani North Korea 🇰🇵 inaumuhimu gani mpaka wa mfate Singapore 🇸🇬Kwani kafanyaje? Kusema walitofautiana mawazo na Mwendazake au? Kwamba hili ni kosa au?
VP sio mtu mdogo,Tzn ina umuhimu gani hadi Biden iwe lazima kuongea na Rais?
Ana makombora ya kupiga DCKwani North Korea 🇰🇵 inaumuhimu gani mpaka wa mfate Singapore 🇸🇬